Tozo zimechukua nafasi ya upinzani

Hivi kumpa mtu shilingi laki mbili na nusu Kama extraduty inaingia akilini kweli wakati pensheni kiduchu za wastaafu ni mishahara midogo ya wafanyakazi wa ngazi za chini inakatwa tozo bila huruma?
 
Mushi amekula kiti moto, akashushia na mbege Sasa ndio anajamba ushuzi huu.

Sikubaliani na huh ujinga wa tozo na wala siungi mkono uhuni wa kuwapora pesa wafanyabiashara na matajiri kama alivyokuwa akifanya shetani Magufuli.
Wewe unakubaliana na Nini?
Tuambie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…