Mtapiga makelele wewe ila come 2025 mtakapokuta kila Kijiji kina maji,kina barabara,kina Zahanati na vituo vya afya ,kina umeme nk mtajua kwamba kumbe mlikuwa wajinga.
Wewe likely ni mpumbavu kwa sbb hutumii akili yako vyema kufikiri na kuchakata matukio tokana na mienendo ya nchi hii chini ya CCM...
Yaani hawa CCM walioshindwa kufanya hivyo kwa miaka 60 tangu 1961 halafu wawezeje kwa miaka 2 kufikia 2025..!!??
Yaani hata kama huna akili ya kufikiri na kuzielewa sera na mipango ya hawa jamaa (i.e CCM) kwamba si functional tena, basi wewe utabaki kuwa huna akili tu...!!
Hebu jaribu kufikiri hili..
Waziri mwenye dhamana ya mambo ya kodi, anasikia malalamiko ya watu tokana na ingizo la sheria sheria yake ya tozo....
Badala ya kutetea kwa hoja ili awashawishi watu, yeye kwa ujeuri na ulevi wa madaraka tu anasema, "...asiyetaka kulipa tozo hizi ahamie Burundi...!!"
Nakuhakikishia jambo moja kuwa, hii kauli ya Mwigulu Nchemba, haitamwacha salama na kama si yeye basi itaathiri kizazi cha wanawe na wajukuu zake na vitukuu unless aitubu dhambi hii sasa kabla hajafa...!
Yaani kwa kauli yake hii, unaweza kutambua mara moja kuwa nia ya tozo hizi wala si hii unayojaribu kuitetea wewe kwa sababu ishu za barabara au maji au zahanati nk kila kijiji inapaswa iwe imefanyika 30yrs ago...
After all, hauwezi kuwauza watu wako kwa nia ya kupata kodi eti kwa sababu tunataka kujenga barabara au zahanati kila kijiji...
Haiendi hivyo. And for sure, mwisho wa mfumo huu chini ya watu hawa umefika. Haya yanafanyika for their own destruction...
Tumewaonya. Hawasikii. We are happy because, their downfall is before their face...!!