TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

Mimi nilipoona amefungwa na yanga nikajua moja kwa moja kuwa hamna timu hapo, kumbe nilikuwa sahihi..
 
Kama Mazembe walitolewa na wale Vipers tuliowagaragaza jana pale kwao, hawana jipya, ni wabovu sana.
 
Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezaji
mimi si mganga ila wewe n shabiki wa mbumbumbu maana huna unalo lijua

unasahau tp kakupa kwa mkopo beleke ambaye wewe unamuona n bonge la mchezaji
 
Huh msimu timu za kiarabu ziko vyema yaan hata ukiwaanika jua kali wana kufunga sijui wame kunywa maji gani ?

CAF waliwafanyiq hujuma Simba sc kwa kuwa taka game yao ipigwesaa1 usikubadala ya saa 10 jioni ambao ndio muda mzuri wa kumchinja mwarabu

Ajabu monastiri wamechomoka
 
Mazembe ya sasa ni mbovu, au timu zingine nazo zimeimarika? Mbona mnaangali upande wa ubovu na kuacha kuangalia upande wa wapinzani wao kuwa ni bora. Msimu ulipita hawa Tp Mazembe walicheza nusu fainali ya michuano hiyo hiyo.
Kwa sasa mazembe ni timu ya kawaida sana kuanzia ubora wa mchezaji mmoja mmoja.
 
Back
Top Bottom