TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

TP Mazembe hamna kitu, yapokea kipigo kingine ikiwa nyumbani kwao

Uto walipiga bomu mochwari wakajisifu. Anyway ni kombe la watoto , kombe la wakubwa lilichezwa juzi na jana acha watoto wafurahie Maisha kwa kuwafunga watoto wenzao
Kombe la watoto liliwatoa kamasi mpaka mkachoma uwanja wa watu moto, mbumbumbu akili zenu ziko matakoni sana, unaenda kuroga mpaka ugenini kwa watu mna akili kweli nyie? Na kupigwa mkapigwa na uchawi wenu
 
Leo hii Mazembe mzembe, ngojea tutafute thread za nyuma kidogo tuwa kumbushe maneno yao.
 
Kwa TP Mazembe ni kushuka kiwango na wala siyo kuimarika kwa vilabu vingine. Fikiria timu bado ina Thomas Ulimwengu ambae hata hapa kwetu hawezi pata namba Mbeya city lakini wao ni bonge la mchezaji
Ulimwengu yuko Tp maxembe ya nyumbani kwenu labda
 
Uto walipiga bomu mochwari wakajisifu. Anyway ni kombe la watoto , kombe la wakubwa lilichezwa juzi na jana acha watoto wafurahie Maisha kwa kuwafunga watoto wenzao
Kombe la watoto hilo hilo wewe ulishindwa mpaka ukatumia uchawi wa kuwasha moto,, au ni kwavile nyie mbumbumbu...
 
Soma ulichokiandika kwanza, timu zikiumarika maanake hata ubora na viwango vyao lazima iongezeke. Viper ilyomtoa TP Mazembe iikuwa ni timu iliyoimarika kumbuka wameuza wachezaji wangapi hao Vipers? Na Simba ilichukua hadi kocha wao.
Wachezaji walioitoa Mazembe ndio hao hao waliopo sasa hivi. Akina Bobosi na Manzoki hawakuhusika
 
Back
Top Bottom