steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Tahadhari..mechi ya Vita ni tofauti na ya jana..TP walikuja kuzuia tofauti na Vita walikuja kusaka ushindi..kwao watafunguka na hawatajaza viuongo wengi kati..wamevunja rekodi ya kumpiga mtu nane kwenye group stage..Mputu utamuona Lubumbashi jana mlikuwa mnamfanyia faulo nyingi..kule mtakula umeme
Lile goli alilokosa Boko linaingilia Lubumbashi,mchezaji mzuri ni mzuri tu hachagui nyumbani au ugenini,hao mazembe hata huko kwao wanaweza kutolewa,msiwaunderate Simba,kama wangekuwa wazuri sana kama mnavyowasifia hata jana wangepata ushindi