IWAMBI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 730
- 624
Hao tp mazembe ugenini wamefunga magoli mangapi??....mbona mnahangaika sana...tulia kifiro cha lipuli kiwaingie vizuriPangua fact, siyo utoe povu, ugenini umefunga goli ngapi, maana ndo unakoenda kufia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao tp mazembe ugenini wamefunga magoli mangapi??....mbona mnahangaika sana...tulia kifiro cha lipuli kiwaingie vizuriPangua fact, siyo utoe povu, ugenini umefunga goli ngapi, maana ndo unakoenda kufia
Fact, fact fazu nyie mamikiya mmefunga goli ngapi ugenini?
Yaani kuna watu wa Ajabu.
Kuna mchambuzi mmoja underdog, Kabla ya ligi ya mabingwa alipenda sana kuzungumzia usajili wa zaidi ya bilioni kama hauna maana, na kupata wafuasi ovyo ovyo wengi, kana kwamba kweli pesa haihitajiki kwenye mpira.
i. Simba ilipofungwa 5 na Vita, akaanza kuzungumzia wachezaji raia na wa nje ooh Simba imejaza wa kigeni wakati Vita imejaza raia ingawa kabla ya pambano walionyesha kiasi gani bajeti ya vita ni kubwa kuliko Simba.
a. uhusiano kati ya uzawa na performance haukuwekwa bayana
b. kusifia bajeti ya Vita alijipinga kwa lawama kwa Simba kuwa na bajeti kubwa
Hizo ndiyo hoja zisizo na mashiko.
ii. Kuja Al Ahly akaanza tena, bajeti bajeti........tukafungwa 5, akaendelea, siku saba baadaye tukawapiga 1, akapotea.
iii. siku tatu kabla ya mechi na Vita akagundua hoja mpya. wakongo siyo waarabu, unajua mwarabu akienda nje, sijuii.........
hana hoja. Tumewachapa vita nasikia watu wanamsaidia ooh mchambuzi underdog alitoa changamoto.
iv. Changamoto huwa inawasilishwa kimkakati kwenye matayarisho. Kwenye uwanja wa mapambano huwa inatolewa motisha siyo changamoto. Chifu Mkwawa alikuwa akimsikia jemedari anahimiza nguvu za adui kwenye kipindi cha kuingia mapambanoni alikuwa anawamaliza( "Mkasipele", yaani mkawape ndege wa porini. alichukuliwa na kutoweka) Simba na serikali inasema tunaweza, pambaneni, yeye anasema hamuwawezi hao alafu anasema anawapa changamoto.
v. wakati wa vita ya uganda, Amin alivotuvamia, kuna watanzania walisema aaah yule mwanamme hatumuwezi. Wiki tatu baadaye waliufyata.
vi. mchambuzi underdog pamoja na juhudi zake kwenye soka, anapaswa kujifunza eneo moja(one dimension) ambayo anaonekana hana na hakuna dalili za kupenda kujifunza.
vii. Akina Kashasha, fanyeni mentoring kwa baadhi ya wachambuzi ili wawe na manufaa kwa jamii yetu siku za usoni.
Watakunywa sumu mwaka huu.Hata kwa nkana mlisema simba ndiyo mwisho, kwa j soura mkasema simba ataishia hapo, kwa al ahly mkasema simba atapigwa nyingi, kwa vita mkasema simba ataaibisha taifa... kwa mazembe mmeanza tena eh??
Baada ya simba kutinga nusu fainali mje tena hapa siyo mnapotea mpk mechi nyingine ifike. Shubamiiti
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wa nyika hawezi kutishwa na vikelele vya churaBaado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti watatoboa na kutinga nusu fainali, kwa maneno mengine teyari wameisha ifunga TP Mazembe.
Mimi mtazamo wangu ni kwamba hii timu ya DRC yenye maskani Lubumbashi kusini mwa DRC keribu na Zambia ndiyo timu itakayotoa ukweli kwamba Simba haikustahili hata kufikia hapo ilipofika , imefika tu kwa fluke ya home advantage.
Sisemi kidkiteta nina sababu kadha wa kadha za kiufundi. Nazo ni kama ifuatavyo;-
1. Ni nani shabiki wa Simba atanibishia kwamba katika ligi ya hizo timu nne ni Simba pekee haikuweza kufunga goli ugenini
2. Ni nani atasita kustaajabu ni timu ya Simba imetinga robo fainali ikiwa ni timu iliyofungwa goli 13, hii ina maana gani, inamana ilichotegemea ni home advantage tu . lakini ingekuwa Head to head kama hatua inayofuata inamaana Simba ingefurushwa na VITA kwa kufungwa 5 na zidi ya 2 nyumbani au AL-aHLY 5 zidi ya 1 nyumbani.
3. Hatua inayofuata TP Mazembe wanaanzia ugenini, ina maana Simba hawajui wawafunge Mazembe magoli mangapi ili wasonge mbele tofauti na hatua iliyopita ambapo walikua wanajua waifunge VITA Club magoli mangapi ili wasonge mbele, hii ina maana gani ni TP MAZEMBE ambao ni wazoefu wa kufika hatua hizi ndo watakuwa wanajua waifunge Simba mangapi ili wasonge mbele.
4. Mpaka hatua ilipofikia Timu ya Simba haijaweza kupata ushindi ugenini, JE! hivi tutegemee hatua hii ndo wataanza kushinda ugenini? wacha kupata droo?
5. Woo eti Vita imeifunga TP MAZEMBE mabao 5 kwenye ligi yao ya nyumbani, kwani Simba iliifunga VITA mabao mangapi nyumbani kwao VITA.
6. Mpaka kufikia hatua hii ni TP Mazembe imefunga mabao mengi nyumbani na ugenini kuliko timu zote makundi yote mawili hivi Simba ina nini cha mno isifungwe mabao mengi ikiwa ndiyo timi ilyofungwa mabao mengi kuliko zote makundi yote hadi kufia hatua hii?
Kwa hiyo ninawaambie Simba kwa hatua inayofuata nina uhakika wa 100 kwa 100 ndo mtapewa aksante kushiriki, sijawahi kukosea hesabu zangu labda hii iwe ni mala ya kwanza
Unakumbuka tu kwenye makundi ila umesahaua kua kwenye mtoano simba ndo timu iliyofunga magoli mengi AfricaPangua fact, siyo utoe povu, ugenini umefunga goli ngapi, maana ndo unakoenda kufia
Kinachoshangaza ni nyie Yanga kukosa aibu.Fact, fact fazu nyie mamikiya mmefunga goli ngapi ugenini?
Hawa Yanga sijui wakoje tu... kuna kipindi wanashangilia kupata droo dhidi ya SIMBA.Unakumbuka tu kwenye makundi ila umesahaua kua kwenye mtoano simba ndo timu iliyofunga magoli mengi Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Baado ya droo kupangwa jana na timu ya Simba kupangwa na timu ya TP Mazembe ya mjini Lubumbashi mimi mtoa mada nesikia mashabiki wa Simba wakiinadi timu hiyo ya DRC kama ni timu nyepesi eti watatoboa na kutinga nusu fainali, kwa maneno mengine teyari wameisha ifunga TP Mazembe.
Mimi mtazamo wangu ni kwamba hii timu ya DRC yenye maskani Lubumbashi kusini mwa DRC keribu na Zambia ndiyo timu itakayotoa ukweli kwamba Simba haikustahili hata kufikia hapo ilipofika , imefika tu kwa fluke ya home advantage.
Sisemi kidkiteta nina sababu kadha wa kadha za kiufundi. Nazo ni kama ifuatavyo;-
1. Ni nani shabiki wa Simba atanibishia kwamba katika ligi ya hizo timu nne ni Simba pekee haikuweza kufunga goli ugenini
2. Ni nani atasita kustaajabu ni timu ya Simba imetinga robo fainali ikiwa ni timu iliyofungwa goli 13, hii ina maana gani, inamana ilichotegemea ni home advantage tu . lakini ingekuwa Head to head kama hatua inayofuata inamaana Simba ingefurushwa na VITA kwa kufungwa 5 na zidi ya 2 nyumbani au AL-aHLY 5 zidi ya 1 nyumbani.
3. Hatua inayofuata TP Mazembe wanaanzia ugenini, ina maana Simba hawajui wawafunge Mazembe magoli mangapi ili wasonge mbele tofauti na hatua iliyopita ambapo walikua wanajua waifunge VITA Club magoli mangapi ili wasonge mbele, hii ina maana gani ni TP MAZEMBE ambao ni wazoefu wa kufika hatua hizi ndo watakuwa wanajua waifunge Simba mangapi ili wasonge mbele.
4. Mpaka hatua ilipofikia Timu ya Simba haijaweza kupata ushindi ugenini, JE! hivi tutegemee hatua hii ndo wataanza kushinda ugenini? wacha kupata droo?
5. Woo eti Vita imeifunga TP MAZEMBE mabao 5 kwenye ligi yao ya nyumbani, kwani Simba iliifunga VITA mabao mangapi nyumbani kwao VITA.
6. Mpaka kufikia hatua hii ni TP Mazembe imefunga mabao mengi nyumbani na ugenini kuliko timu zote makundi yote mawili hivi Simba ina nini cha mno isifungwe mabao mengi ikiwa ndiyo timi ilyofungwa mabao mengi kuliko zote makundi yote hadi kufia hatua hii?
Kwa hiyo ninawaambie Simba kwa hatua inayofuata nina uhakika wa 100 kwa 100 ndo mtapewa aksante kushiriki, sijawahi kukosea hesabu zangu labda hii iwe ni mala ya kwanza
Kweli kabisa hata mm nashangaa sana mijtu mikubwa na makengele yao mawili hayana kazihivi huwa mnatoa wapi muda wa kufuatilia team zisizo wahusu????????
ya Simba waachie wana Simba