Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Mimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.
NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.
Natoa msaada kwa wale wasioelewa kua wanapoteza muda na fedha kwenye kitu ambacho, hakitakaa kuleta faida yoyote kwa taifa hili, Tanzania HATUWEZI MPIRA, huo ni Ukweli, na utasubiri sana mpaka uzeeke kusikia tumefika popote. Ndio maana Mataifa ya watu wenye akili zao, wanafanya mambo yale wanayoweza na kwa bidii zote, Ona kenya wao wamekomaa na riadha na imewatoa, ona marekani walivyowekeza kwenye basketball na inawanyanyua, unless tufunguke akili na kufanya kile tunachoweza tutaendelea kufanya yale yale over the years, and trust me, mpira hapa bongo hautakaa utupeleke kokote.
Majungu na umbea.Sasa mbona unajisumbua?
Haya basi tuambie, Tanzania fani yake nini ukiondoa hii mijungu uliyobandika hapa kwa kuwa ni Yanga?
Sawa Mkuu nimekusikia nakutakia kifo chema cha stroke.Natoa msaada kwa wale wasioelewa kua wanapoteza muda na fedha kwenye kitu ambacho, hakitakaa kuleta faida yoyote kwa taifa hili, Tanzania HATUWEZI MPIRA, huo ni Ukweli, na utasubiri sana mpaka uzeeke kusikia tumefika popote. Ndio maana Mataifa ya watu wenye akili zao, wanafanya mambo yale wanayoweza na kwa bidii zote, Ona kenya wao wamekomaa na riadha na imewatoa, ona marekani walivyowekeza kwenye basketball na inawanyanyua, unless tufunguke akili na kufanya kile tunachoweza tutaendelea kufanya yale yale over the years, and trust me, mpira hapa bongo hautakaa utupeleke kokote.
mnyama kapita lamba lamba kapita mo beiya kapita kapitaHa ha ha, eti mwanangu zamu ya TP leo, zamu yako itakuja kesho usijali baharia wangu!
Mkuu hilo jina la stroke umelichangua mwenyewe, mimi siyo kia.zi ni Makoye Matale, nitake radhi fasta kabla sijabonyeza kitufe cha 'Report'.Kufa mwenyewe kia.zi wewe
Hii tabia ya usaliti ni lazima ikomeshwe hata kwa lazima maana 'punda haendi ila kwa nyenzo'. Hii mechi ni yetu (Yanga), wale wanaotaka kuishangilia Yanga, ruksa waende uwanjani tena wataingia bure, wale wasiotaka kuishangilia wabaki majumbani waangalie kwenye runinga zao, wazomee huko huko na wake zao na watoto wao na siyo kujipendekeza kwenda uwanjani.Nishanunua jezi yangu ya TP Mazembe!
Tulia sasa mtani povu la nini? mimi nitalipa hata hela lakini nitavaa jezi ya Tp MazembeHii tabia ya usaliti ni lazima ikomeshwe hata kwa lazima maana 'punda haendi ila kwa nyenzo'. Hii mechi ni yetu (Yanga), wale wanaotaka kuishangilia Yanga, ruksa waende uwanjani tena wataingia bure, wale wasiotaka kuishangilia wabaki majumbani waangalie kwenye runinga zao, wazomee huko huko na wake zao na watoto wao na siyo kujipendekeza kwenda uwanjani.
Jezi pekee ya kesho ni kijani na njano full stop. Haiwezekani tukiwa ugenini kuna watu wanatuzomea halafu tukiwa nyumbani kuna watu pia wanatuzomea, hawa ni lazima tuwape haki yao. Overall ushindi wa Yanga kesho ni wa Watanzania wote na siyo Wakongo. Hakuna atakayeingia uwanjani bila ya kuwa na jezi rasmi (kijano na/au njano), usidanganyike!
Mkuu hakuna povu hapa. Kesho kuingia ni bure lakini ni sharti uwe na jezi ya njano na/au kijani, kama hutaki baki home! Kutakuwa na 'makerubi' yakizuia wote wasio na vazi rasmi kuingia uwanjani. Si unakumbuka hata kwenye ile harusi watu wasiokuwa na vazi walitolewa nje!πππTulia sasa mtani povu la nini? mimi nitalipa hata hela lakini nitavaa jezi ya Tp Mazembe
Mkuu hili chezo halitaki hasira........''Kapigwa kapigwa tena'' haiepukiki keshoHii tabia ya usaliti ni lazima ikomeshwe hata kwa lazima maana 'punda haendi ila kwa nyenzo'. Hii mechi ni yetu (Yanga), wale wanaotaka kuishangilia Yanga, ruksa waende uwanjani tena wataingia bure, wale wasiotaka kuishangilia wabaki majumbani waangalie kwenye runinga zao, wazomee huko huko na wake zao na watoto wao na siyo kujipendekeza kwenda uwanjani.
Mimi Simba damu damu lakini, sijaona sababu zako za msingi hasa, eti dharau na majivuno!!? Sure? Kama hizo ni sababu za msingi, nahisi unaishi, maisha ya kukosa raha mtaani kwa sababu ya watu wenye maendeleo kukuzidi. Usimba na Uyanga kuwa juu ya mwenzio ni kumfunga na kuchukua makombe.. Simba tuchukue kombe makombe tuone kama yanga watakuwa na dharau na majivuno.
NB: tuwaunge mkono yanga na tuwapongeze panapo stahili, lasivyo ni taswira mbaya tunaijenga katika macho ya Dunia.
Yani badala ya kumshangilia mtanzania mwenzetu Thomas Ulimwengu sijui Ngoma....... Khaaaa,!!!Kesho nipo Na vijana wa jangwani.!
sasa kesho mimi nitavunja rekodi, nitakuwa mtanzania pekee mwenye jezi ya Mazembe ndani ya uwanja.Mkuu hakuna povu hapa. Kesho kuingia ni bure lakini ni sharti uwe na jezi ya njano na/au kijani, kama hutaki baki home! Kutakuwa na 'makerubi' yakizuia wote wasio na vazi rasmi kuingia uwanjani. Si unakumbuka hata kwenye ile harusi watu wasiokuwa na vazi walitolewa nje!πππ