TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Mimi mzalendo halisi nitamshangilia Mtanzania mwenzetu Thomas Ulimwengu, tuache ubaguzi eti ushangilie huyu umwache yule wakati wote ni watanzania
 
Mimi mzalendo ila kwa mneno ya Muro
Yanga bora ipingwe
 
Wa matopeni utawajua tu
 
Mimi japokuwa ni mshabiki wa simba lakini kwa hili la kesho nipo pamoja na Yanga....kuiombea mabaya Yanya hakusaidii matatizo ya Simba......

Yanga kwanza Tanzanaia kwanza Simba baadae......
 
Pamoja na kuishabikia Yanga siafikiani na mwenendo wa Jerry Muro hivi karibuni.Kwa kifupi He is too unprofessional to handle that post. Yanga onyesheni kuwa ninyi ni club kubwa kwa kumpiga chini huyo muro akajifunze adabu.

Mleta mada sio sahihi kuhamasisha watanzania wengine waisapoti timu ya kigeni kwa kigezo cha msemaji wa klabu.Katika hili uzalendo unapaswa kuchukua nafasi ya juu zaidi ya mtu binafsi.Huyo Muro adhibitiwe na yanga inaweza kusonga mbele zaidi bila uwepo wake, anafanya hata kazi ya usemaji wa klabu ukose maana na ikiwezekana turudi kule ambapo viongozi walikuwa wasemaji.
 
Dua la kuku.....,mume akiishiwa mnaomba talaka
 
Niko tayari kutoa usafiri wa kukusanya mashabiki wa TP Mazembe popote pale D'salam na kuwapeleka uwanja wa Taifa , Mungu Ibariki Mazembe .
 

Ni ngumu sana kupata watu wenye mtazamo huru wa aina yako katika kizazi hiki chenye unazi uliotopea. Hongera kwa kuwa mkweli na kuonyesha professionalism ya hali ya juu.
 
Mkuu Kitaja naheshimu maoni yako.lakini matusi ya Muro ni matusi ya Yanga kama taasisi,sote tunajionea kwamba toka awe msemaji mpaka leo ni matusi kwa kwenda mbele na uongozi haujawahi kumkemea!anatukana Simba,anatukana TFF na hata media.Anatukana watu wenye albinism kupitia Manara
 
Usidanganyike, wale watakaoingia bure ni wale tu watakaoishangilia Yanga. Wale wahafidhina kama huyu mwandishi wa huu uzi lazima walipe kiingilio tena kikubwa sana, sijapata bei yake, nikiipata nitarejea kuiweka hadharani. 😉😉
Kwa hiyo washabiki wengi wa Yanga ni hohehahe mpaka walipiwe viingilio?
Hii timu ni aibu sana, gabacholi ana tunza timu, analipa mishahara mpaka wa Jerry Muro, wazee wa Yanga anawapa hela ya futari mpaka kahawa na sasa mpaka washabiki anawalipia kiingilio!
Huyu akiwaambia chochote hakuna kukataa, loh aibu kubwa. Halafu kuna watu wanasema "timu yetu", sio yenu ya Manji.
Ila kwa uzalendo wangu nawatakia kheri Yanga wapunguze magoli wasifungwe zaidi ya 2
 
Mikia kazi yao itakuwa kuhamahama Kama machangu
Hii ni timu sijui ya ngapi? Walianza na wale jamaa kule Bahari ya Hindi, wakaja kwa APR, wakaja kwa Al Ahyl, wakaja kwa Esparanca, wakaja kwa Mo Bejaia na sasa wako kwa TP Mazembe; wanahesabu lakini? Mwaka huu tutawahamisha sana.

Go go go Young Africans SC International.
 
Leo Jerry Muro kaomba msamaha kwa kitendo cha mashabiki wa Yanga kuishangilia Mazembe mwaka ule walivyocheza na Simba. Too late Muro, kesho tunakuja kuzomea mwanzo mwisho.

Nakala kwa;
Makoye Matale
na wengineo wote
 
Mikia wamepanic,

Njooni uwanjani muwashangilie Mazembe, Tiketi yako ni limkia lako kwa zako,

Ila kaeni mkijua ninyi ni wa michangani tu, Mwakani mtaiona michuano ya kimatafa kwenye Video wakati wenzenu tukikwea pipa. Hata mkituchulia vipi Yanga haiwezi kuwa simba, womoja havai mbili... Mtaishia kucheza mapinduzi cup tu, hata Kagame hamgusi..!! Tubishane nini na nyie kyaaaaaaaaa


BACK TANGANYIKA
 
Nimeshaacha siku nyingi sana kwenda kuangalia wakata viono uwanjani for nothing..unatoa pesa yako unaingia uwanjani unaishia kua disapointed, sipotezi muda wangu kuangalia mpira wa Tanzania, ule hata sio mpira ni ngoma flani hivi za mdundiko.

Umeambiwa leta Mkia wako tu,

Hivyo vimiambilimbili vyako kawape wanao wanunulie bablishi alaaaahhh!!

BACK TANGANYIKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…