TP Mazembe tupo pamoja na nyinyi kwa hali na mali hapo kesho

Hakunaga kitu kinaitwa uzalendo kwa wapinzani wa jadi kokote duniani.

Sitakwenda uwanjani, lakini kama mpinzani wa jadi naunga mkono TP Mazembe.
 
Mo bajaia kamla yanga na kesho tp mazembe wanakula kwa hiyo itakuwa yanga kaliwa kaliwa tena!
 
Leo Jerry Muro kaomba msamaha kwa kitendo cha mashabiki wa Yanga kuishangilia Mazembe mwaka ule walivyocheza na Simba. Too late Muro, kesho tunakuja kuzomea mwanzo mwisho.

Nakala kwa;
Makoye Matale
na wengineo wote
Mkuu uko huru kufanya chochote. Fahamu kuwa mlangoni hutaingia ukiwa na jezi ya TP Mazembe. Vaeni jezi za Yanga muingie kisha mvue na kuvaa za hao TP Mazembe, kesho tunawafunga TP Mazembe pamoja na mikia fc concurrently.
 
Kesho ndio siku ya kuutumia MKANDA MWEUSI ''black belt'' yangu niliochukua nchini Polland. Navaa jezi ya TP Mazembe na kukaa jukwaa la Yanga, ole wake mtu aniguse

Bakora utakazopata kesho hutazisahau
 
Kumbukeni mtawatia gundu wenzenu tp kwani kila timu mtakayoishangilia inafungwa sawa ishangilieni tu kwani yanga tutaona kama tunacheza na simba mnajua tena nini kitatokea
 
Kumbukeni mtawatia gundu wenzenu tp kwani kila timu mtakayoishangilia inafungwa sawa ishangilieni tu kwani yanga tutaona kama tunacheza na simba mnajua tena nini kitatokea
Mbona mwarabu hakufungwa na hao wazee wa uturuki
 
haki ya nani tena ukisoma hizo posts za humu ndani unaweza ukadhani ushindi wa Tp Mazembe utawaondolea Simbs matatizo yao yote.
 


Yanga ifungwe tu hata 7 - 0, who the hell cares? Hamna cha maana wakifanyacho Zaidi ya uchawi.
 
Mazembe timu piga Yanga wanaojiwakilisha wenyewe maana msemaji wao anadai ni kubwa kuliko CAF na mji utulie tuishi Kwa amani .AMINA # timu AZAM
 
Masikini Simba Ooops Paka, kila mara mnaneng'eneka na timu za watu. Mngekuwa nyie leo ndio mnacheza na TP - Mazembe, ila ndio siyo nyie ni sisi Yanga.
Tanajua mnatamani msijali, tushawalipia, mnajua kulipiwa eeh basi mje kwa wingiiiiii

#teamyangaforever#
 
Tanzania hatuwezi mpira period, sisi tunaweza michezo kama riadha na ngumi pekee. Tunapoteza muda mwingi na fedha kwa kitu tusichokiweza.
Riadha.?????????? Umechemka, wanariadha wetu wamezoea kukimbilia magari ya mbagala pale makumbusho,

Marathon utashangaa na roho yako, "Lugumi is nasing"~~~Lema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…