Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juwatta Jazz Band,sauti ya Gurumo hiyoKuna wimbo wa zamani sijui bend gani
Verse moja inasema
"Ubaya uliuanza zamani, wakati ningali mtoto......"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikumbushe,kipindi hicho mlikuwa hatua gani. Sisi tupo robo na malengo yametimia 100%, sasa tunaenda 100%+
Mkuu imekuaje siku hzī umekuwa mpole kwa team yako? Au akili zimekurudia kūtoka kuwa msukulē wa manara?
Aisee! Mmeamua kulipiza?
Tulia wewe Yanga
Mkuu kwani bakuli bado mnatembeza? Msipokuwa making mtamaliza wa 3 ligi kuuMkuu imekuaje siku hzī umekuwa mpole kwa team yako? Au akili zimekurudia kūtoka kuwa msukulē wa manara?
Karma haichagui level wala hatua,subirini kipigo tuuNikumbushe,kipindi hicho mlikuwa hatua gani. Sisi tupo robo na malengo yametimia 100%, sasa tunaenda 100%+
Malipo ni hapa hapa Duniani,ahera kuhesabiwa.Aisee! Mmeamua kulipiza?
Kwani ubingwa vipi ndoto imeyeyuka?Mkuu kwani sisi kumaliza 3 ļigi kuu ni mara yetu ya kwànza?
Kila la heri Mazembe wanayanga tupo pamoja nanyi
Kamweneeeeeee😂😂😂😂
Kamweneee😂😂😂Kila la heri Mazembe wanayanga tupo pamoja nanyi
Uzalendo wenu nani kawaomba...kwani tumefika hii hatua kwa kushangiliwa na nyinyi...ckuzote c mmekuwa mkishangilia maadui zetu mmepata nini zaidi ya aibu...kwanza mkitushangilia nyinyi mtatupa gundu...kamweneeee
Kamweneeeee😂😂😂😂Tutakupa wewe