Siyo mara ya kwanza TP kusajili mchezaji kutoka TanzaniaSimba imetanganza nchi,na pia Yanga kuwa na kocha msaidizi wa Timu ya taifa ya Congo kumefanya ligi yetu ionekane ya ushindani Sana ndomana Mazembe naona wanatafuta kusajiri wachezaji was Tanzania...ila pia labda mazembe fedha za usajiri mkubwa tatizo kwao
Najua ila Mara chache sana kuja kusajiri TanzaniaSiyo mara ya kwanza TP kusajili mchezaji kutoka Tanzania
Mazembe hana tatizo la fedha ya usajiri , wana mkataba mnono wa Simba bia,Sogam , Anko Moise Katumbi yuko mjiniSimba imetanganza nchi,na pia Yanga kuwa na kocha msaidizi wa Timu ya taifa ya Congo kumefanya ligi yetu ionekane ya ushindani Sana ndomana Mazembe naona wanatafuta kusajiri wachezaji was Tanzania...ila pia labda mazembe fedha za usajiri mkubwa tatizo kwao
Mazembe wako vzr ,watakua wamejiridhisha , na km hatofiti wana timu B inaitwa Don Bosco ataanzia kule , Mkuu kwenye mpira unaweza kuona mchezaji wa kawaida ila ana vitu Fulani hivi ambavyo akiongezewa anakua mzuriKwanza nimtakie kila la heri kijana wa nyumbani Tanzania kwa kupata fursa ya kucheza mpira kwenye timu kubwa Kama TP Mazembe. Akakaze azidi kufanikiwa zaidi kimpira na kimaisha kwa maslahi yake, familia na taifa.
Lakini nina swali kidogo kwa wenye kuijua TP Mazembe, labda mimi naipa ukubwa usiostahili (na exaggerate), Hivi kwa ukubwa wa timu ile, ni kweli wanasajili wachezaji aina ya Ambokile toka nchi nyingine ? Au Wako desperate, mimi nilikua nawaza kwamba TP wanayakiwa kuchukua wacheza ambao ni the finest hasa kutoka nchi nyingine hasa Tanzania. Ambokile ni mzuri sawa lakini mimi naona hata kwenye kikosi cha timu ya taifa cha wachezaji wa ndani asipoitwa hakuna anayeweza kushangaa. TP wamemchukua kwa madhumuni yapi, kwamba Congo mtu wa uwezo sawa na Ambokile hakuna ?
My take:
Nadhani timu zote za Afrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara wana tatizo linalofanana kwenye suala la recruitment ya wachezaji wa nje, nadhani Scouting sio nzuri sana.
Sijui wenzangu mna maoni gani ?
Ila vipi walipoanza kwa Ibrahim Ajib ina maana wanafatilia ligi ya Tanzania kwa Sasa Sana au?Mazembe wako vzr ,watakua wamejiridhisha , na km hatofiti wana timu B inaitwa Don Bosco ataanzia kule , Mkuu kwenye mpira unaweza kuona mchezaji wa kawaida ila ana vitu Fulani hivi ambavyo akiongezewa anakua mzuri
Makambo wkt yupo Fc lupopo alikua MTU wa benchi lkn Yanga kafanya maajabu, Tom Ulimwengu anakuja Mazembe hkn aliyekua anamjua hata ligi ya vpl hakucheza sana lkn kufika Mazembe akafanya vzr ingawa nae alianzia Don Bosco
Kingine hy price yake ya $ 25,000 ,TZS million 50 ,kwa miaka hy ni faida kwa Mazembe km akifanya vzr ( mtazamo na maoni yangu )
Kwa kifupi azam TV inapatikana Lubumbashi, ligi inatazamwa vzr ,MTU km mputu ,kalaba na kasusula wanatazama sana ligi yetuIla vipi walipoanza kwa Ibrahim Ajib ina maana wanafatilia ligi ya Tanzania kwa Sasa Sana au?
Mazembe wako vzr ,watakua wamejiridhisha , na km hatofiti wana timu B inaitwa Don Bosco ataanzia kule , Mkuu kwenye mpira unaweza kuona mchezaji wa kawaida ila ana vitu Fulani hivi ambavyo akiongezewa anakua mzuri
Makambo wkt yupo Fc lupopo alikua MTU wa benchi lkn Yanga kafanya maajabu, Tom Ulimwengu anakuja Mazembe hkn aliyekua anamjua hata ligi ya vpl hakucheza sana lkn kufika Mazembe akafanya vzr ingawa nae alianzia Don Bosco
Kingine hy price yake ya $ 25,000 ,TZS million 50 ,kwa miaka hy ni faida kwa Mazembe km akifanya vzr ( mtazamo na maoni yangu )
Ahsante Mkuu, tuko pamoja huyu kijana atacheza tu, Lubumbashi wadada wa Mbeya wanamiliki biashara size ya kati hatopata tabu, apige tizi tuNimekuelewa sana mkuu, pia asante sana kwa mchango wako.