TP Mazembe yamsajili Ambokile wa Mbeya city

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
TP Mazembe imesajili mshambuliaji wa Mbeya City kwa dau la milioni 50 kwenda Mbeya city. Ambokile amesajiliwa kuchukua nafasi ya Ibrahim Ajib aliyegoma

Ambokile aliefunga goli 10 mzunguko wa Kwanza wa ligi kuu Tanzania ambapo mzunguko wa pili alienda kwa mkopo Black Leopard ya South Africa ambapo hakucheza kutokana na kukosa kibali kwa wakati.

Ambokile amesaini mkataba wa miaka 3 na nusu, ataanza kuitumikia Mazembe kwenye michuano ya Cecafa Huku Simba na Yanga zikijitoa

Inst-image-28.jpeg
 
kati ya mbeya city na mazembe umedombanga sana,hata sikujua nani ni nani
 
Simba imetanganza nchi,na pia Yanga kuwa na kocha msaidizi wa Timu ya taifa ya Congo kumefanya ligi yetu ionekane ya ushindani Sana ndomana Mazembe naona wanatafuta kusajiri wachezaji was Tanzania...ila pia labda mazembe fedha za usajiri mkubwa tatizo kwao
 
Siyo mara ya kwanza TP kusajili mchezaji kutoka Tanzania
 
Simba imetanganza nchi,na pia Yanga kuwa na kocha msaidizi wa Timu ya taifa ya Congo kumefanya ligi yetu ionekane ya ushindani Sana ndomana Mazembe naona wanatafuta kusajiri wachezaji was Tanzania...ila pia labda mazembe fedha za usajiri mkubwa tatizo kwao
Mazembe hana tatizo la fedha ya usajiri , wana mkataba mnono wa Simba bia,Sogam , Anko Moise Katumbi yuko mjini

MTC | 101| [emoji769]
 
Kwanza nimtakie kila la heri kijana wa nyumbani Tanzania kwa kupata fursa ya kucheza mpira kwenye timu kubwa Kama TP Mazembe. Akakaze azidi kufanikiwa zaidi kimpira na kimaisha kwa maslahi yake, familia na taifa.

Lakini nina swali kidogo kwa wenye kuijua TP Mazembe, labda mimi naipa ukubwa usioistahili (na exaggerate), Hivi kwa ukubwa wa timu ile, ni kweli wanasajili wachezaji aina ya Ambokile toka nchi nyingine ? Au wako desperate.... mimi nilikua nawaza kwamba TP wanatakiwa kuchukua wachezaji ambao ni the finest katika nchi husika hasa kutoka nchi kama Tanzania.
Ambokile ni mzuri sawa lakini mimi naona TP ni kubwa mno kwake. Kwa mfano, kwenye kikosi cha timu ya taifa cha wachezaji wa ndani Ambokile asipoitwa hakuna anayeweza kushangaa.
TP wamemchukua kwa madhumuni yapi, kwamba Congo mtu wa uwezo sawa na Ambokile hakuna ?

My take:
Nadhani timu zote za Afrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara wana tatizo linalofanana kwenye suala la recruitment ya wachezaji wa nje, nadhani Scouting sio nzuri sana.

Sijui wenzangu mna maoni gani ?
 
Kwanza nimtakie kila la heri kijana wa nyumbani Tanzania kwa kupata fursa ya kucheza mpira kwenye timu kubwa Kama TP Mazembe. Akakaze azidi kufanikiwa zaidi kimpira na kimaisha kwa maslahi yake, familia na taifa.
Lakini nina swali kidogo kwa wenye kuijua TP Mazembe, labda mimi naipa ukubwa usiostahili (na exaggerate), Hivi kwa ukubwa wa timu ile, ni kweli wanasajili wachezaji aina ya Ambokile toka nchi nyingine ? Au Wako desperate, mimi nilikua nawaza kwamba TP wanayakiwa kuchukua wacheza ambao ni the finest hasa kutoka nchi nyingine hasa Tanzania. Ambokile ni mzuri sawa lakini mimi naona hata kwenye kikosi cha timu ya taifa cha wachezaji wa ndani asipoitwa hakuna anayeweza kushangaa. TP wamemchukua kwa madhumuni yapi, kwamba Congo mtu wa uwezo sawa na Ambokile hakuna ?

My take:
Nadhani timu zote za Afrika hasa kusini mwa jangwa la Sahara wana tatizo linalofanana kwenye suala la recruitment ya wachezaji wa nje, nadhani Scouting sio nzuri sana.

Sijui wenzangu mna maoni gani ?
Mazembe wako vzr ,watakua wamejiridhisha , na km hatofiti wana timu B inaitwa Don Bosco ataanzia kule , Mkuu kwenye mpira unaweza kuona mchezaji wa kawaida ila ana vitu Fulani hivi ambavyo akiongezewa anakua mzuri

Makambo wkt yupo Fc lupopo alikua MTU wa benchi lkn Yanga kafanya maajabu, Tom Ulimwengu anakuja Mazembe hkn aliyekua anamjua hata ligi ya vpl hakucheza sana lkn kufika Mazembe akafanya vzr ingawa nae alianzia Don Bosco

Kingine hy price yake ya $ 25,000 ,TZS million 50 ,kwa miaka hy ni faida kwa Mazembe km akifanya vzr ( mtazamo na maoni yangu )
 
Ila vipi walipoanza kwa Ibrahim Ajib ina maana wanafatilia ligi ya Tanzania kwa Sasa Sana au?
 
Mazembe wako vzr ,watakua wamejiridhisha , na km hatofiti wana timu B inaitwa Don Bosco ataanzia kule , Mkuu kwenye mpira unaweza kuona mchezaji wa kawaida ila ana vitu Fulani hivi ambavyo akiongezewa anakua mzuri

Makambo wkt yupo Fc lupopo alikua MTU wa benchi lkn Yanga kafanya maajabu, Tom Ulimwengu anakuja Mazembe hkn aliyekua anamjua hata ligi ya vpl hakucheza sana lkn kufika Mazembe akafanya vzr ingawa nae alianzia Don Bosco

Kingine hy price yake ya $ 25,000 ,TZS million 50 ,kwa miaka hy ni faida kwa Mazembe km akifanya vzr ( mtazamo na maoni yangu )

Nimekuelewa sana mkuu, pia asante sana kwa mchango wako.
 
Back
Top Bottom