TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

Sasa mbona hawajafichua hayo mautopolo hadi mama mwenyewe kayafichua?
Bwashee siunajua kuwa mwendazake alikandamiza demokrasia, uhuru wa kutoa maoni na haki za binadamu? Au umesahau bwashee?

Huoni hata jana mama amesema kuna mambo alikuwa anapambania ila yakamshinda bwashee. Maana yake inawezekana aliyaona hayo na hakuoendezwa ila mwendazake ndio alikua top manyota hataki kusikia la mtu bwashee.

Kwani bwashee na ulivyo kwenye system hapo LB7 hujui kuwa maza aliwahi kutaka kujiuzulu wazee wakamuomba amuepushie mwendazake hicho kikombe bwashee.

Ndio maana nakuuliza bwashee dishi limeyumba?
 
Kwahiyo pesa yetu tunaokatwa na PSSSF ndo basi
 
Mchawi uwe wewe, halafu uulize jirani yako Kwa nini umeniruhusu nimloge mwanangu??
 
Mbona Dr Slaa aliweza kumbana mwendazake Mkapa?
 
Upuuzi. Kwani CHADEMA wamewahi kutawala nchi hii? Wao ni wapiga kelele tu kama raia wengine. Mifuko ya hifadhi ya jamii imefilisiwa na serikali.
 
me nimekuelewa sana,ndo maana walitaka kumuua Lisu mzalendo wa kweli dah ccm bhana
 
Si mliwafunga midomo na aheria mkatunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…