Kwani wakati Dr Slaa anafichua ufisadi alikuwa madarakani?
Ameandika fasihi mueleweni tu. Ana lake jambo huyu mwandishi. Anawazingua watu fulani.
Hahahaaaa....... Niko fiti kabisa bwashee napata kuku choma hapa Ufipa st jirani na hii HQ yenu!Si Wabunge wa Chadema walikuwa Bungeni Bwashee au ndiyo dishi limeyumba? Yule dhalimu na dhulumat kwa kushirikiana na mgonjwa ndugai ba tulia kika siku walikuwa busy kuwafukuza bungeni, kuwafunga na kuwabambikia kesi fake ili tuwe wasiwemo mjengoni. Acha kuonyesha ujuha hadharani Bwashee kama huna la maana la kuandika piga kimya.
Wanafichua mifupa ,uvundo na uozo ambao chama chako kinajitahidi kuficha kabatini na chini ya kapeti.HUO NDIO WAJIBU WAO WA MSINGI KAMA UPINZANI,na wameutekeleza ipaswavyo.Sasa wanafanya kazi gani?
Kweli MATAGA dishi limeyumba baada ya kifo cha "mungu" wao!Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Hahahaaaa....... Niko fiti kabisa bwashee napata kuku choma hapa Ufipa st jirani na hii HQ yenu!
Mkuu, MATAGA dishi limeyumba sana tangu "mungu" wao alivyokufa!Si Wabunge wa Chadema walikuwa Bungeni Bwashee au ndiyo dishi limeyumba? Yule dhalimu na dhulumat kwa kushirikiana na mgonjwa ndugai ba tulia kika siku walikuwa busy kuwafukuza bungeni, kuwafunga na kuwabambikia kesi fake ili tuwe wasiwemo mjengoni. Acha kuonyesha ujuha hadharani Bwashee kama huna la maana la kuandika piga kimya.
the question is Walioko madarakani wanafanya kazi gani? maana hizo taasis zimeharibika kwenye mikono yaoSasa wanafanya kazi gani?
Mkuu, MATAGA dishi limeyumba sana tangu "mungu" wao alivyokufa!
We si majuzi tu ulikuwa unamsifia marehemu babako leo unamgeuka hata arobaini yake bado? LaahChadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Enzi za marehemu huyu ni mchochezi!! Tungempima mkojo kwanza!!Huu ni uandishi nguli
Asante mkuu
YOHANA MBATIZAJI NIMEKUELEWA, NARUDIA TENA NIMEKUELEWA,Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Mkuu nimekuelewa vizuri kwamba umeamua kukichana chama Chako ccm, na uongonzi uliopita kinyume , we ni noma Sana, ila mwendazake alipigana kufa na kupona na ufisadi, Sasa yanatoka wapi tena ,??Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Unaona sasa!!!Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote TPA, TRA, TASAC, NSSF, PSSSF, Tamisemi BoT Hazina ni vurugu tupu watu wanakwiba tu.
Ndio najiuliza hawa Chadema waliodai wao ni wazalendo na wanapambana na ufisadi kweli kweli, KULIKONI?
Ukinizingua Nitakuzingua!
Sarcasm.Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.