TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

420cc25dbdc9f16d8aef559cc86b692b.jpg
 
vipi kuhusu foleni, bado zinapanga foleni hadi wiki kama zamani, au zinatumia siku moja au mbili. lete picha pia.
 
Tumeli tuwili tu! Mamamaye, sisi wa-TZ ni mazombie! Kuna jinga juzi limesema uchumi uko vizuri tu! Lakini mkulu si alishasema ni bora kuwa na meli mbili zinazolipa kodi kuliko mia ambazo hazilipi kodi! Ngoja tusikilizie!
 
Siasa Na biashara sawa Na paka Na panya...kodi kubwa watu WA Congo ..zambia hawataki Bandar ya tz longolongo kibao Na mabadiliko Kila kukicha ....tutapata majibu meeeeepesi ya wahusika
 
Tunapgwa sana fine huku nazan nazo ndio buster . Ukisimama tu hawakos kosa hatakama pik pik mpyaa
 
Back
Top Bottom