TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Kukusanya kodi ni kazi kubwa sana hata marekani hukosa $600b kwa mwaka, na Greece waliangukia pua kwa kushindwa kukusanya kodi kwa 89.5% na ninaowakubali kwa ukusanyaji wa kodi ni Germany kwani hukosa asilimia mbili tu na kidogo kwa ukusanyaji hiyo inatokana na uzalendo wao wa hali ya juu tofauti na Greece ambao wakusanyaji wa serikali walikuwa wanapewa cha juu na hawapeleki mapato serikalini
Tujifunze kwa wenzetu.
 
Hata matangazo magazetini nayo huyaamini. Si bure. Uliza ambao wanafuatilia habari za ndani. Uliza TPA. Kuna makontena zaidi ya 40 ya sukari yatapigwa mnada. Mwenyewe ametoweka. Alifanya udanganyifu kwa kusema ni sukari ya viwandani ambayo ina msamaha wa kodi !kumbe ni uongo. Sasa inadaiwa kodi over bilion.
Angalizo yakipigwa mnada isijekuwa ndio yanapigwa mnada alafu wale wale ndio wanatuma watu wao kuja kuinunua.
Wafanyabiashara wafanye biashara waache ujanja Ujanja ambao unawaweka katika kipindi kigumu kwa serikali. Maana wafanyabiashara wanaisi awajulikaniki kumbe wanajidanganya sana wafanyabiashara wote wanajulikana. Na ndio maana sasa ivi TRA wanaanza kuboresha taarifa za kila mwanachama mwenye Tin Number.
 
Sasa kama mapato yanashuka mapema hivi utalipwaje huo mkopo wa Exim ya China wa standard gauge sababu tumekopa zaidi hata ya budget ya mwaka na nusu?
Nchi itapigwa mnada!![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Yale matamko ya kitisho na ubabe kwa wafanyabiashara ndiyo yemetufkisha hapa.
 
Naona kuna hii kadhia ya mizigo kupungua bandarini
Kamati ya Bunge imekutana na wadau Bandarini na wamekiri mizigo kupungua na kuomba wahusika kukutana na kutafuta suluhisho, huku wakiwalaumu Wataalam kwa kushindwa kumshauri Mh Rais vizuri

Chanzo ITV news



kizungumkuti hikii....disco limeingia mmasai......KWELI MIZIGO IMEPUNGUA...ukiangalia hata ulikuwa ukipita Salenda unaona meli zimejipanga sasa huoni tena....NI HATARI... BABA ASHAURIKE
 
Kwa mujibu wa TRA malengo ya makusanyo yanaendelea kuvukwa pamoja na upungufu mdogo wa mizigo bandarini. Hivyo hakuna sababu ya kuwa na wasiwasi kwa sasa kwani nchi bado inakusanya kodi kama ilivyo tarajia.
 
Na Mitandao ya Airtel, sasatel na ttcl vip? Makusanyo yao. Maana siamini viwango vidogo vinavyokusanywa na makampuni ya simu apa Tanzania. Mfano mdogo kwamba kalibia kila kijana aliyefikisha miaka 18. Anatumia simu, Leo hii mapato kodi yake inadhidiwa na sigara na bia kitu ambacho Watumiaji wake ni asilimia chache sana
Niliopna hizo takweimu za Voda na Tigo kwenye Daily News. Naamini Airtel hawako mbali sana kwenye figure hizo.
 
Kazi ya wabunge Ni kuishauri serikali kazi ya Waziri Ni kumshauri raisi kila ngazi ina ukomo wake ila kwa mtukufu sijui kama atakibali ingawa naamini hakuna baunsa WA njaa
teh teh "hakuna baunsa wa njaa"
 
Tulieni Mnyooke!

Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.

Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.

Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.

Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.

Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.

Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
wazungu wasema, "YOU NEVER KNOW WHAT YOU'RE MISSING TILL WHEN YOU DONT HAVE IT"
 
Sirudi bongo ng'o hadi miaka mitano .


Swissme
Duh Rest in Peace kwa muda, umewafanyeje tena Mods? Au umeleta uchochezi kwa kuonyesha hizi statistics??
1473070515877.jpg
 
Back
Top Bottom