TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Halafu kuna watu wakiambiwa ukweli utasikia ooh wanakwepa kodi akili zingine za kijinga toka tani elfu 40 mpaka tani 1000 si hatari hiyo..kisha TRA wanakuja na mbwembwe za kukusanya kodi kwa 98.9% sijui kama wana mapenzi mema na nchi hii au ni kumfurahisha boss wao
wanafurahisha shetani!kiti anaumia!
 
Kuanzia Waziri wa Fedha
Uchukuzi
Washauri wa Raisi hawa wote wanatakiwa wajiondoe
Hawa watu wanafanya kazi kilingana na mood ya mkuu so hawawezi fanya kitu hata kama wanajua kinachoendelea hakiko sawa
 
Kwakweli huko tuendako hali ni tete wala siyo uongo. Nimesoma matangazo Mount Meru Hotel inauzwa na Snow Crest ipo kwenye process ya kupigwa mnada.

Halafu tunaambiwa uchumi unapanda
 
sasa naona ya habunuwasi nda haya.kipindi magufuli hayupo wizi bandalini hulikuwa mkubwa sio kukwepesha kodi yani yanaibiwa kama vibaka wanavo pora simu.hilo hakuna hata siku moja na maovu yote leo wanasema bandari hakuna mizigo.naamini siku zote muovu ukimpeleka kwenye haki hakosi sababu za kulalamika kwa vile unambana
 
Hahahaahaha mizigo ipo mingi tu ya kumwaga, ndio wanavyotaka kusikia tu hivyo. Kinyume na hapo Wewe utaitwa msaliti... Unamkwamisha Kiranja
 
Tulieni Mnyooke!

Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.

Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.

Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.

Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.

Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.

Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
Akili zingine full majanga...wakati wengine wakinyooshwa wewe utakuwa wapi....!! Huyo mkwere unaemtukuza kuna lipi la maana amefanya au nikuruhusu Watu kugawana Hela kwenye viROBA!
 
tena kwa sifa kanunua ndege mbili cash.....sasa hizo ndege sijui watapanda kina nani.......hapa kuna dalili ya wafanyakazi wa umma kulazimishwa kupanda ndege....
 
Labda washauri wanaogopa kumwambia ukweli mfalme....

Tatizo TRA wenyewe wanatoza kodi kwa kuwakomoa wafanyabiashara.

Imefika wakati kufanya biashara Tanzania ni kama dhambi.!
Tatizo hao watu wa KODI wengi wao hawajawahi kufanya hata Biashara ya GENGE so wakia MTU anafanya Biashara tayari kwenye Akili zao inaCLICK kwamba jamaa tajiri
 
Lab

Labda washindani wake wabadilishwe lakini kama ni wale wale wa mwaka jana hata kama uchaguzi utarudiwa mara 100 lazima Magufuli atashinda. Kwa hivyo waliompigia kura hawawezi kujilaumu na wala hawana tatizo lolote kwa sababu ni kama vile hakukuwa na option. Ilikuwa ni ama kumchagua magufuli ama kutoenda kupiga kura.
Hivi unajua mtu wa pili alipata kura ngapi???
 
hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.
Acha upuuzi jifunze kusoma uzi wote
 
Kushauri mambo gani tena,na moja ya kazi ya wabunge si hiyo pia ya kuishauri serikali au wao kazi yao nini pale mjengoni Dodoma.
M/kit kamat amesema walipeleka mapendekezo yakakataliwa' hii nchi sasa n ya mtu mmoja tu analoamua yy ndo hilo hilo hata lisipokuwa na maslahi kwa taifa!
 
Acheni uswahili wenu, ripoti ya tathmini ikionesha quantitative revenue fall iko wapi? Hizi ni longo longo tu za waswahili wabeba mizigo wa bandarini waliokuwa wamezoea uwakala kwa wasafirishaji wasiolipa kodi. Tunapima effectiveness ya mizigo ya bandarini si kwa kuangalia wingi wa mizigo (quantity) bali pia revenue size. Ni bora mizigo iwe kidogo kinacholipiwa kodi stahiki kuliko mizigo mingi sehemu kubwa yake haililpiwi kodi. Mawakala wa mizigo bandarini walijifanya wanamkomoa JPM kwa kuwaambia wasafirishaji wahamie bandari nyinginembadala bandari sasa inakula kwao. Na TPA tayari imependekeza serikalini kuanzishwa tena wakala wa mizigo wa Serikali (NASACO) ili kujenga imani badala ya wachumia tumbo wanaoisaliti nchi kwa kuwa hawajapewa fursa za kuliibia taifa. Sitashangaa ikiwa nikiambiwa kuwa hata na hao wabunge tayari wametia kitu mifukoni mwao
Mimi huwa mnaniudhi pale mnapodhani mnahujumiwa. Tena mnaniudhi zaidi pale mnapomuona kila mshauri wenu kuwa kapewa kitu kidogo. Akili hizo huwa ni vigumu kusonga mbele. Mwisho wake mtaanza kusema kuna watu wanaficha makontena. Hao wabunge ni watanzania na wanaijenga nchip kwa pamoja. Mtindo wa kumuona mtu mmoja ndo anaweza kufanya kila kitu, tutakuja kuangukia pua
 
Back
Top Bottom