Huyo hashauriki ukiienda kumshauri utaitwa mchocheziHivi rais wetu anashaurika??????
''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.
Msimuingilie kwenye majukumu yake
Anachojua yeye mizigo ikipungua bandarini iliopo anaiongezea kodi ili ifidie ile mizigo mingine iliopitishwa bandari za Msumbij na Mombasa.