TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Naona kuna hii kadhia ya mizigo kupungua bandarini
Kamati ya Bunge imekutana na wadau Bandarini na wamekiri mizigo kupungua na kuomba wahusika kukutana na kutafuta suluhisho, huku wakiwalaumu Wataalam kwa kushindwa kumshauri Mh Rais vizuri

Chanzo ITV news



!
!
kuna watu wameficha mizigo tena? yereeeuwiiii mbona kila kitu kinaadimika? tulianza na sukari ikaja pesa na sasa mizigo duh hebu tungojee msako wa makondrakta na tamko la mwendokasi.
 
Kuna haja ya kuwafahsmu wanaomshauri rais.
Tazama yanayoendelea bandarini
Tazama yanayoendelea katika hotuba zake.
Tazama yanayoendelea bungeni
Tazama yansyoendelea kuhamia Dodoma

na mengine mengi sn.


wananchi tunahaki kuwajua washauri wa raisi

Lazima magu kakushika papaya.....ndio ujifunze kuwa na saving na kufanya mambo yaliyo nyooka.
 
Kuna haja ya kuwafahsmu wanaomshauri rais.
Tazama yanayoendelea bandarini
Tazama yanayoendelea katika hotuba zake.
Tazama yanayoendelea bungeni
Tazama yansyoendelea kuhamia Dodoma

na mengine mengi sn.


wananchi tunahaki kuwajua washauri wa raisi


Kutwa kila mkiamka ni kumsimanga rais wetu, hebu tuacheni magu wetu lol!!!
 
Tulieni Mnyooke!

Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.

Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.

Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.

Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.

Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.

Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
Kuhusu chanjo. Wakati wa JK huku Arusha ilikosekana kwa karibu mwaka mzima. Ile ya watoto wanapozaliwa. Pia mara kwa mara ya pepopunda ilikua adimu sana.
 
Kwa jinsi alivyo anaonekana hashauriki. Watu wa hivi ni pasua kichwa sana. Akilala akiota hivi itaku
A ivyo.
 
SAA MBONA WALIKUWA WANAJISHEUA NJIA YA MTU MUONGO FUPI MNO WAMEKALIA KUFIKRI VIJEMBE TU
 
Mimi huwa mnaniudhi pale mnapodhani mnahujumiwa. Tena mnaniudhi zaidi pale mnapomuona kila mshauri wenu kuwa kapewa kitu kidogo. Akili hizo huwa ni vigumu kusonga mbele. Mwisho wake mtaanza kusema kuna watu wanaficha makontena. Hao wabunge ni watanzania na wanaijenga nchip kwa pamoja. Mtindo wa kumuona mtu mmoja ndo anaweza kufanya kila kitu, tutakuja kuangukia pua
wanahamisha magoli
 
Back
Top Bottom