realoctopus
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,232
- 1,985
Nilisha apa maishani mwangu sitakaa niwaamini hawa wanao jiita wataalamu serikali.Kama walithubu kuja mbele ya vyombo vya habari,na kutuaminisha kwamba VAT haitakaa itozwe kwenye miamala ya kibenki,leo hii tunatangaziwa kukatwa hizo kodi! Mh mh na kwa aibu wamepiga kimya.