mara ya mwisho kwenda bandarini ni lini?Wewe kweli bado upo gizani jaribu kuwa serious kidogo na kuipenda nchi yako
Hivi umeelewa kinachojadiliwa kwenye hi mada? Kwahiyo wewe kwako meli zikipishana ndo zinaongeza mapato na mizigo?mara ya mwisho kwenda bandarini ni lini?
maana meli zinapishana tu kuingia na kutoka sasa sijui furaha yako ni kuona mizigo imelundikana
Tumeshaongea na MO atajenga viwandaSasa itakuwaje tena, uchumi utakuwaje, naomba mchukue hatua haraka sana kuokoa hali hii
labda unieleweshe mapato ya bandarini yanaingiaje?Hivi umeelewa kinachojadiliwa kwenye hi mada? Kwahiyo wewe kwako meli zikipishana ndo zinaongeza mapato na mizigo?
Mbuzi kafia kwa muuza supuBora hii kamati inaongozwa na wabunge wa CCM
Kuna wachumi flani hiv na mtaalam wa kodi na mshauri wa masuala ya kodi pia mwanasheria waliomba kuwe na mjadala wa wadau na serikali juu ya kodi ambyo haina jina ya tozo katka miamala ya kifedha pia wadau wa utalii na wafanyabiashara pia forodha ili kujadili jambo hlo kabla halija affect uchumi kuwa wanaeza kaa meza yapamoja kujadi jambo hilo kwa maslah mapana ya taifa kwani wadau na wananch hawaja husishwa au kupewa elimu cjui jambo hili kama lilipewa nguvu ili kuokoa kinachotokea leo na sielew kama wadau wa matamko yanayotolewa wanahusishwa katka mazungumzo au ni utekelezaji tuu.. Vipi utoe mtihani wakat hujawah ingia darasan tena una una address in a short notice lazma upokee failier wengi kwani hujawashrkisha kuwaaandaa au kuwa highlight..Naona wamejikita moja kwa moja kwa washauri wa mh kuhusu masuala ya kodi
Nadhani panatakiwa kuitishwa mjadala wa wazi wa wataalamu wa masuala ya kodi na biashara ili kujadili hali hii ambayo kama ikiachwa italigharimu taifa.
watashaurije wakati wana vinasaba vya NDIYOOO HATA KWA MAMBO YASIYO NA TIJA KWA TAIFA?Yap,ndo maana nikasema wabunge wangeshauri vyema kuhusu hilo katika kikao cha bajeti kilichopita basi mawaziri wangefikisha ushauri huo kwa Rais ila kama waliona hakuna tatizo wasibebeshe mzigo huo watu wengine ila waseme tu kila mmoja hajafanya kile kinachotakiwa.
Hivi umemwelewa mkurugenzi mkuu wa bandari kweli?Amekiri hali ya bandari sio nzuri na mizigo kupungua kwa asilimia kubwa.Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Kamati ya bunge leo imeshangaa baada ya kufika bandari ya dar na kukuta hali ya bandari ikiwa kavu haina mizigo.. Wakati huo mkurugenzi wa TPA akikiri wazi kwamba kwa sasa hali ya bandari sio nzuri
Kamati hiyo imeiwatupia lawama washauri wa rais kwa kushindwa kumshauri vizuri rais kuhusu kupungua mizigo bandarini
Pia kamati hiyo imetaka tra waseme wazi Pesa zinazoongezeka kila mwezi zinatoka wapi waki hali ya bandari ni mbaya
Pia kamati imeomba mjadara wa haraka kunusuru hali ya bandari ya dar es salaam
Chanzo: ITV habari
Sasa TRA wanavunja rekodi kila mwezi ya makusanyo kivipi?
Tunakoelekea,unatenguliwa kiuno kwanza baade unatenguliwa uteuziUtasikia katengua uteuzi wa mkurugenzi wa TPA