Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,128
- 2,914
Sasa TRA wanavunja rekodi kila mwezi ya makusanyo kivipi?
Pia kamati hiyo imetaka tra waseme wazi Pesa zinazoongezeka kila mwezi zinatoka wapi waki hali ya bandari ni mbaya
Bandari ya Dar ndiyo roho yetu kuu ya uchumi.
TPA ni asilimia ngapi ya makusanyo ya TRA ?