TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Tulieni Mnyooke!

Wakati wa JK mlidhani mambo yanajiendea tu ndio sababu mliimbishwa nanyi Mkaitikia kiitikio eti Kuna Ombwe la Uongozi.

Bandari ilipovamiwa kwa Mbwembwe mkashangilia mlidhani anakomolewa Jakaya. Magari yamepungua kutoka 3,500 mpaka 1,500 na bado mpaka itafika 500 kwa siku.

Sasa Chanjo kadhaa zimeanza kuadimika.

Lazima Mnyooshwe na mtanyooka Tu.
Mapumziko Mema Rais Mstaafu Kikwete kuna watu walidhani wakati wako Mambo yanajiendesha tu!
Mount Meru ipo Mnadani inauzwa kwa kukosa wateja
Zingine zinageuzwa Hostel bila ya kujua Pass mark zimeongezwa kupunguza Wanafunzi Vyuo vikuu.

Wa Vietnam wamefika Dar Jana wameenda mpaka Msoga kuchota Hekma halaf kuna Vichaa walitufundisha eti ni Rais Dhaifu.
Naupenda sana Utawala na Leadership style ya Magufuli kwa kuwa inathibitisha nilichokuwa naamini Juu ya Jakaya Kikwete.

Wale walioruhusiwa kufanya Siasa kwa uhuru walituaminIsha wanafanya hivyo kutokana na Ujasiri na uthubutu wao sio Utashi wa Rais Leo hii wote wamefyata na Mwanamume Mmoja anazunguka Nchi nzima kupiga Mikutano
Ha ha ha ...
 
Sijaangalia taarifa ya habari leo ila kamati haiwezi kuhoji TRA eti mnapata wapi fedha za kodi wakati hakuna mahali ktk nchi ambako hapaingizi mapato.

kodi inalipwa tena kwa sasa maeneo mengi kodi na malipo yasiyokuwa ya kodi yanalipwa kwa njia ya mtandao na wizi umepungua sana na mapato yamepanda sana.

Hayo ya TPA wenye mamlaka watatoa taarifa kama kuna shida.

Naomba tuwe na positive thoughts itatusaidia ktk kujenga nchi yetu
kwaio positive thoughts ndio zitakazo ongeza idadi ya mizigo na kupandisha mapato juu!?
Umeongea vizuri sana. Hatimaye watawakumbuka pia Ritz na FaizaFoxy . Nadhani hawa jf member this time watakuwa wanacheka tu. Chezea uongozi wewe. Mtu kawatengenezea ajira millions then mnamtukana? Eti
Walikuwa wakiita autopilot. Sasa nawaongoze basi hiyo spidi ya Boeing 787 ili tuwahi kufika. JK tutakumbuka mnoo, umewafanyia mengi sana watanzania wasio na shukran. Kuanzia umeme vijijini, miradi ya maji na umwagiliaji, barabara, madaraja, maendeleo bibafsi, skyscrapers, universities, freedom etc.
Nimemmisi Faizafoxy!dah!
Magu anaweza wachimba mkwara kuwa mmezificha meli, hebu subirini arudi kutoka Zenji mtakoma.
ahahaha,mikwara haitasaidia kitu!
 
Sasa itakuwaje tena, uchumi utakuwaje, naomba mchukue hatua haraka sana kuokoa hali hii
Nani achukue? Magufuli..? Huyu yupo bussy kuzunguka nchi nzima kupiga makelele shein asisain stakihi baada ya kutoshikwa mkono
 
hii kamati wakati watu mizigo ilivyokuwa inafurika huku kapu likiwa limetoboka mlikuwa wapi kutoa ushauri
 
miongoni mwa watu waliofurahi awamu ya Kikwete mmojawapo ni hawa wabunge kusafiri kila siku , naona kwa sasa wana hasira
 
Kama bandari haipati mizigo hiyo standard gauge railway haitakuwa na manufaa.Pia kwa huo mkopo kutoka Exim China tutashindwa kuulipa.
Ni wakati wa kukaa na wadau kuona wapi kwenye tatizo ili watu warudi kutumia bandari yetu.Biashara inataka mtu kuweka mazingira mazuri na sio kutumia nguvu.
Watatoa tamko, mizigo itakuja mingi
 
Unaweza kumwamini mbunge yeyote lakini siyo Dalai Kafumu wala Mary Mwanjelwa, hawa ni mawakala wa wapiga dili wanajulikana. Eng. Kakoko hajasema kuna tatizo la mizigo bali amewashauri TRA waachane na njia za zamani za kutathmini thamani za magari ambazo zinashawishi rushwa. Alipendekeza TRA watumie njia ambazo ni transparent.
kwaio mizigo ni mingi bandarini na mapato yako juu?
yaani natamani bandari ikose kabisa mizigo waifunge tu ndio akili atatukaa sawa
ahahaha,ila ujiandae kuja kukaguliwa kwa kosa la kuficha makontena na meli nyumbani mwako!
alianza na wanaoficha sukar, ameenda na wanaoficha noti sasa itakuwa kuficha makontena(mizigo
ujiandae pia kwa msako na ukaguzi kwa wale walio zificha meli vyumbani mwao!
Magufuli mzee wa U-turn. Kila akifanya maamuzi anajiona wenzake wale walikuwa wajinga anakuta anarudi nyuma tena.
ahahaha,Wasaidizi wake wanaishia Kumsaidia kuzitolea ufafanuzi kauli na mipango yake!
Uzi kama huu Lumumba wanachungulia a kukimbia
Penye Ukweli Huwa Hawatii Pua Zao!
Nchi ya vibanda
sio viwanda?ahahaha
Wwe ndio mwendazimu tena mchochezi unayependa kuona nchi ikidumbukia kwenye shida. Kwanza huna akili.
Mh,
 
Mm uwa nashangazwa na mambo mengi sana hapa tz na Africa .utasikia wapumbavu wanasema eti tuungane Africa ndo tutakuwa na maendeleo au EAC tuungane tuwe taifa moja swali " hivi kuungana kuwa taifa moja kutaleta maendeleo kwa kuwa tukiungana atuitaji AKILI zaidi kupata maendeleo .kama akili zetu zimeshindwa kuiletea maendeleo tz itakuwaje tukipewa Kenya na Uganda mana nisawa na kusema mwalimu mwenyewe darasa lenye wanafunzi 10 akufanikiwa kuwafundisha vizuri kuliko yule mwalimu mwenyewe wanafunzi 1000 .ili uongoze watu wengi zaidi inatakiwa Akili zako ziongezeke siyo zipungue tukumbuke selemani alimwomba mungu akili na hekima akisema "ili niweze kuwaongoza hawa watu wengi na ili taifa kubwa" kumbe jinsi taifa linapokuwa kubwa na watu wanapo ongezeka ni lazima akili na hekima iongezeke zaidi siyo ipungue sasa je nani mwenye Akili na Hekima ya kuliongoza bara zima la Africa ili nchi zikiungana zitoe raisi mmoja
 
Nafikiri ni wakati mzuri wa kubadiri mfumo! Baada ya kusubiri mizigo ambayo haipo, sisi tufanye yafuatayo. 1. Tusafirishe nje malighafi na bidhaa. 2. Tuwekeze viwanda maana bidhaa zitakua adimu sokoni, kwahiyo tuna nafasi ya soko la bure. Ni wakati wa kuitanua nchi ila kwa wavivu wa kufikiri wanazani Sera za Raisi Magufuli zinaferi, lakini Mimi nadhani ni wakati muafaka wa kuimarika ndani ya nchi kwa kila kitu kinachokosekana tutazalisha hapa. Mfano, Mimi mwenyewe nimeona faida, maana pesa hakuna lakini kampuni yetu imeongeza mauzo, kwa maana bidhaa kutoka nje hakuna kwahiyo waliokua wanazarahu bidhaa zetu wamekuja kununua, ingawa kwa kiasi kidogo, lakini Malengo na nia zinaelekea kutimia. Namsifu Magufuli kwa maana katika shida tulio nayo sasa, tunaona tumaini la Kiwanda chetu kukua. Tujiamini watanzania, ni wakati wa sisi kuzarisha.
Hongera kwa Kuiona Fursa!
 
Waziri mkuu alianza kwa mkwara mzito...bandari...bandari..kila siku anashitukiza...baadae akatulia na sasa kanyamaza..amebaki kufanya ziara katavi kila mara..
Sidhani kama huwa anamshauri magufuli..juzi magufuli akasema tutahamia dodoma katka kipindi cha miaka minne iliyobaki..bila tafakari majaliwa akaripuka na kusema mimi septemba mosi nahamia...leo kaahirisha
Magufuli nae ubabe mwingi..dharau,majivuni kibao..mimi ndio rais. .mimi ndio rais..hotuba zake zote hazina dira bali kutafuta ujiko kwa watanzania wajinga wanamshukuru kwa kulifanya tukio la kupatwa na jua kutokea nchini...
Nchi imemshinda..na mda si mrefu atageukwa..kila mahali ni ujinga tu na kupeana takwim za kupika..tukisema uwezo wa kufikiri ni mdogo hawatuelewi..ubishi,kibri ndo vimemjaa..
Leo bandari iko tupu halafu anahubiri viwanda na reli ya standard gauge...kwa mizigo ipi??..kwa malighagi ipi...hana dira wala maono si kwa uchumi bali hata kulileta taifa pamoja...
Bado tuna safari ndefu sana...viongozi wa nchi hii utadhan kuku alitekatwa kichwa...
 
Back
Top Bottom