TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Kamati ina wabunge wafanyabiashara utegemee watasema jema kuhusu TRA?
 
Aina haja ya kumshauri acha wafu wazike wafu wao haya ni madhara ya kukataa AKILI.......jiulize unarusha ndege vita katikati ya jiji unadai mazoezi watalii wanaiona nchi kama ipo vitani kwanini hizo ndege msifanyie mazoezi mapolini tatizo la raisi wetu anafanana na baba aliye sababisha kifo cha mwanae kipenzi kwa kukataa asichomwe sindano ya kumponya ugonjwa kwa kuwa anampenda sana anamwonea huruma.magu anaweza akakwama kama Mugabe ukizingatia ameacha kutatua matatizo ya uchumi anavamia kuzuia vyama vya kisiasa na bunge live toka lini Giza liwe mwanga?
 
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!
Tumeshaambiwa kwamba kupungua kwa mizigo sio kupungua kwa mapato. Taarifa za nyuma zilisema ingawaje kweli mizigo ilipungua lakini TRA walikuwa wanakusanya mapato zaidi au walikuwa wanatupiga changa la macho tu?

Link Kama mapato bandarani yako stable, ni kwanini TPA walalamike mizigo kupungua?

Link2. Mapato bandari Dar yaongezeka

Link3. Zawadi ya Jumamosi kwa Mh. Rais

Haya sasa, paka ametoka guniani. Waache mihemko, watuambie ukweli. Ukweli elekezi.
 
Angekuwa anauwezo wa kufanya mambo yawe mazuri tz asinge waza habari za wapinzani ila inaonyesha kesha jua atoweza kitu ndo mana kaanza mapema kuzuia democracy nchini mm nilisha jua tangu alipo stop bunge live
 
I can bet! Kwa style inayowiana na hotuba ya kule Pemba, then kwa arrogance kama ile ikiingizwa kwenye uchumi, zimbabwe iko kimara nakwambia. Nani atakaewekeza kwenye nchi ambayo mamlaka sio supportive.

Hakuna kazi ngumu kama kushawishi uwekezaji Africa. Sasa kwa lipi hata aka perform better?
Aisee umenichekesha malizia tuu Zimbabwe iko shekilango apo
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo
Mkuu sasa mbona ulipokuwa unahojiwa na kamati ya bunge hukusema hayo afu unakuja kujitutumua huku jf. Subiri kutumbuliwa kuko pale pale.
 
H ha ha ha iwe mini? Au iwe swimming pool au beach
iwe uwanja wa mpira tuchezee Gombania Goli na One Touch!
kamati imejikita kwenye aggregate. hayo mengine hayana msingi kwani tulitegemea maboresho yengeongeza mapato kwa ujumla. kinachoonekana ni kushuka kwa mapato ambako kunafananishwa na mdororo which is a serious thing. kwa kifupi mapato yameshuka kupita kiasi na wadau walishauri baadhi ya mambo wakakataliwa na kurudishwa na kale kamsemo maarufu "msinitafute, sijaribiwi, kama hataki na aondoke"
alisema lini "msinitafute"?
Tulianza kusema siku nyingi hapa tukaonekana wazushi.

Na hili la bandari ni the so called "canary in the mine". Uchumi mzima unaelekea kuzorota.
canary in the mine=?
 
Mkuu sasa mbona ulipokuwa unahojiwa na kamati ya bunge hukusema hayo afu unakuja kujitutumua huku jf. Subiri kutumbuliwa kuko pale pale.
[emoji2] [emoji2] [emoji2], mkuu mimi mwananchi wa kawaida tu nikijaribu kutoa fikra zangu
 
In business perspective.... sehemu ambayo haiaminiki kibiashara ni ya kukimbia. Kwakuwa mifumo yetu ya kikodi ndani ya miezi michache mzingo niliokuwa naulipia million 3 sasa unatakiwa kulipiwa milioni 30. Labda mfanyabiashara mwehu ndo atafanya biashara eneo. leo hii kuingiza gari ni sawa na kujikomoa.... Acha wajifunze ili warudi wakiwa na mipango isiyobadilika overnight...
Kuna mmoja aliagiza gar japan Kwa mil 9 wazee wa kodi wamemnyuka milion 15 kodi peke ake mbal ela alonunulia gar.

Tuhurumiane na hii minyukano yenu ya kodi
 
Hivi rais wetu anashaurika??????

''Mtukufu'' huwa hashauriwi anajishauri mwenyewe.

Msimuingilie kwenye majukumu yake
Naona kama vile washauri wanasingiziwa, kwenye hilo suala nafikri washauri wa kwanza ni bandar wenyewe na TRA, je wanamaanisha hao ?
 
Yap,ndo maana nikasema wabunge wangeshauri vyema kuhusu hilo katika kikao cha bajeti kilichopita basi mawaziri wangefikisha ushauri huo kwa Rais ila kama waliona hakuna tatizo wasibebeshe mzigo huo watu wengine ila waseme tu kila mmoja hajafanya kile kinachotakiwa.
Wabunge wa ccm wao kila kitu ni ndio.. Nchi ikiwa na wabunge wa chama kimoja unadhani mtafika sehemu yoyote.. Ndio mambo kama haya kina lusinde kimyaa
 
Back
Top Bottom