TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

Umembiwa mizigo ilikua inaingia tani40000 awamu takatifu inaingia tani1000 sasa mbona unajitoa ufahamu

kwenye hizo tani 40000 zilikuwa zinachangia kodia kias gani kwenye TRA kulinganisha na 1000?
 
hii habari ya kijumla sana, yamepungua kutoka mangapi hadi mangapi? mapato je? kama urasimu umeondolewa makontena yanaondolewa kwa wakati je? bandari sio yard wala stoo kama hayapo wenyewe wameyachukua.

kamati imejikita kwenye aggregate. hayo mengine hayana msingi kwani tulitegemea maboresho yengeongeza mapato kwa ujumla. kinachoonekana ni kushuka kwa mapato ambako kunafananishwa na mdororo which is a serious thing. kwa kifupi mapato yameshuka kupita kiasi na wadau walishauri baadhi ya mambo wakakataliwa na kurudishwa na kale kamsemo maarufu "msinitafute, sijaribiwi, kama hataki na aondoke"
 
Juzi kati kuna huyo boss wa bandari alisema...bandari mambo safi mizigo ni mingi....leo wamekanusha..
Alishinikizwa kukanusha baada ya kuwa ameweka mambo hadharani kwenye kikao chake na waandishi wa habari! Haya yamemkuta pia kimei wa crdb baada ya kusema wamestopisha kutoa mikopo baada ya kuyumba kifefha, ilibidi atume muakilishi kwenda kukanusha, in short bwana mkubwa hapendi watu wajue udhaifu wa mikakati yakd ya uchumi
 
kwenye hizo tani 40000 zilikuwa zinachangia kodia kias gani kwenye TRA kulinganisha na 1000?

bandari haina hela wala mizigo. concern ya kamati ya bunge ni kuporomoka kwa idadi ya mizigo na ukata. kwa tafsiri rahisi bandari inaingiza pesa ndogo let alone mizigo inayoshughulikia
 
Tulianza kusema siku nyingi hapa tukaonekana wazushi.

Na hili la bandari ni the so called "canary in the mine". Uchumi mzima unaelekea kuzorota.
 
Mizigo kujaa bandarini sababu ilikua zengwe kwenye kuitoa, Mizigo sasa haikai muda mrefu bandarini sio kuwa hakuna mizigo

hoja ya kamati sio ufanisi ni idadi ya mizigo inayopita bandari ya dar na mapato yake. jaribu kuelewa kwanza msingi wa hoja
 
Halafu kuna watu wakiambiwa ukweli utasikia ooh wanakwepa kodi akili zingine za kijinga toka tani elfu 40 mpaka tani 1000 si hatari hiyo..kisha TRA wanakuja na mbwembwe za kukusanya kodi kwa 98.9% sijui kama wana mapenzi mema na nchi hii au ni kumfurahisha boss wao
Kila jambo lina mwisho wake
 
Upinzani walilalamika Sana hili la bandari na utalii lakini jamaa akasema yeye Ni baunsa WA njaa, njaa ikimuona inakimbia nasubiri mwisho wa mpambano nani ataibuka kidedea ingawa mmoja kaanza kulalamika uchumi umechoka kisa watu wameficha noti
Kuficha noti c Kwa weny mabilion tu bal hata mwananch wa hal ya chini kama ana kalaki kake anakaifadhi maana hela haiingii ivyo lazma ela ipotee maana tunategemeana
 
Back
Top Bottom