TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

TPA: Ni kweli Mizigo imepungua Bandarini

UZI HUU MBONA SIWAONA TEAM LUMUMBA BUKU7 VIMBELEMBELE TEAM...WAKICHANGIA

OVA
 
Tusimjaribu kabisa mheshimiwa, alishasema kuwa asiyetaka kulipa kodi aondoke zake. Hakuna kubembelezana tena. Hapa ni kazi tu.

Wacha tuendelee kuisoma namba vizuri tu.
 
yaani natamani bandari ikose kabisa mizigo waifunge tu ndio akili atatukaa sawa
 
Upinzani walilalamika Sana hili la bandari na utalii lakini jamaa akasema yeye Ni baunsa WA njaa, njaa ikimuona inakimbia nasubiri mwisho wa mpambano nani ataibuka kidedea ingawa mmoja kaanza kulalamika uchumi umechoka kisa watu wameficha noti
alianza na wanaoficha sukar, ameenda na wanaoficha noti sasa itakuwa kuficha makontena(mizigo
 
Hahahaa ..eti mapato yameongezeka ...yaani mnapika mapato hewa ...kha hii nchi ni laana kabsa ...lkn haya ndo anayataka mh .mtukufu sana ...hataki kuambiwa ukweli ...akiambiwa ukweli utasikia nimtumbue au nisimtumbue? Watu tumbuaaaa...teh teh teh ...utasikia uchumi umeongezeka sana mpka 12% toka awamu hii iingie ...kumbe ni kinyume chake ...daah
 
Naona mmeanza kutafuta mchawi nani sasa..caterpillar mmechagua wenyewe chimbua baba
 
Hapa kazi tuu,tutawatumbua tuu haiwezekani watoe taarifa za uchochozi kama hizii eti mizigo imepungua[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Wwe ndio mchochezi unayependa kuona nchi ikidumbukia kwenye shida.
 
Hii ni kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV,wabunge wanahoji TRA wanapata wapi mapato!!
Sijaangalia taarifa ya habari leo ila kamati haiwezi kuhoji TRA eti mnapata wapi fedha za kodi wakati hakuna mahali ktk nchi ambako hapaingizi mapato.

kodi inalipwa tena kwa sasa maeneo mengi kodi na malipo yasiyokuwa ya kodi yanalipwa kwa njia ya mtandao na wizi umepungua sana na mapato yamepanda sana.

Hayo ya TPA wenye mamlaka watatoa taarifa kama kuna shida.

Naomba tuwe na positive thoughts itatusaidia ktk kujenga nchi yetu
 
Ubabe na vitisho havina nafasi kwenye mambo yanayo hitaji ufanisi na ubunifu huswa mambo ya uendeshaji bandari kama tulikwenda Rwanda kujifunza bas tuende Mombasa ya Kenya au Dubai tuone wenzetu wanayo endesha kisasa bandari zao Mombasa meli ikitia nanga tu ni masaa 48 iwe tayari imeshapakua mzigo na kuondoka sisi bandari ya Dar ni ya kizamani sana ipo kikiritimba sana tuondoke kwenye uzamani kwanza mile kubwa zote haziji Dar coz miundombinu ya uongo sana
 
Watalaam wa kumshauri " mtukufu"???![emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23]hakuna wa kumshauri " mtukufu" kama mmakonde kashindwa sidhani yupo atakaemuweza ni bora uwe kama mkwere ni kupiga kimya kujifanyia mambo yako tu basi unapojiona mjanja na unakili nyingi mpaka zinamwagika ujue unazidi kupotea R.I.P uchumi wa Tanzania..tusubirie story za uchumi wa Tanzania unakuwa huku mtaani wananchi wanataabika.
 
Back
Top Bottom