nuru geofrey
Member
- Sep 9, 2016
- 11
- 1
jamaa walinifunga magereza kwasababu mimi ni mtoto wa kishua uzunguni.Duh Rest in Peace kwa muda, umewafanyeje tena Mods? Au umeleta uchochezi kwa kuonyesha hizi statistics?? View attachment 393995
Tumeli tuwili tu! Mamamaye, sisi wa-TZ ni mazombie! Kuna jinga juzi limesema uchumi uko vizuri tu! Lakini mkulu si alishasema ni bora kuwa na meli mbili zinazolipa kodi kuliko mia ambazo hazilipi kodi! Ngoja tusikilizie!
Sasa mkuu wataongea nini.....kila mtu anataka familia yake hakuna anaetaka kuamka saa kumi na mbili na foleni hizi kuwahi kisutuWatu wataalamu wamekaa kimya sijui kwanini
sikuhizi no folenivipi kuhusu foleni, bado zinapanga foleni hadi wiki kama zamani, au zinatumia siku moja au mbili. lete picha pia.