Yule boss wa TPA nilimwona Clouds TV body language yake tu inamsuta. DP World imeingia mzigoni, bye bye TPA. Zile mbwembwe za tumeajuriwa bandarini kwishaaaa. Waajiriwa wa TPA watapelekwa bandari nyingine Kama Ile ya Tanga, Mtwara au zile za ziwa Nyasa, Victoria na Tanganyika
 

Weka rekodi zako sawa; Serikali haijaipa Dubai P World bandari ya Dsm bali ni bandari zote za Tanzania Bara yaani za pamoja na Bandari ya Lake Victoria, Nyasa/Malawi, Tanganyika na kadhalika!!!! Kilichosomwa Bungeni ni sawa na MSINGI WAKE yaani KATIBA ya makubaliano! Vipengele vitashuhulikiwa hatua kwa hatua kama Wabunge wafanyavyo mabadiliko kwenye actual KATIBA YA TANZANIA! Watu wengi hupita madarasa lakini ni wachache wanafanikiwa kamaliza vyuo vikuu!!!!! Level of understanding differs very much!! Kwa kifupi katiba ya mkataba ndo umesomwa[emoji24][emoji24]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…