TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
Mnaogopa nini kusema ukomo wa mkataba? What is a hidden agenda?
 
Bandari ni mali ya watanzania wote, sio mali ya Serikali. Kiburi mlichonacho watendaji na viongozi wa Serikali mmeyapata kutoka kwa wananchi hivyo msijiamulie tu kama kwamba bandari ni mali yetu.
Bandari ithaminishwe kwanza kisha hisa zake ziorodhedhwe kwenye soko la Hisa, ili wananchi tununue hisa za bandari pia.
 
Wanaopinga wanatakiwa waandamane kama Ufaransa
 
Sheria ya manunuzi ya umma inaelekeza kuhusu taratibu za uwazi na ushindani Kwa ajili ya tender zote za serikali except iwapo itatokea dharura.
Sasa hii kazi wanayopewa DP world ilitangazwa lini na ziliomba kampuni gani na mchakato huo ulisimamiwa na nani
 
Nye Nye Nye....
mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
Kuwa na msingi unaosema unatawala milele ina maana hiyo hiyo, Msingi wa Utawala unataka Uendelezaji/Uendeshaji uwe wa milele.
Vivyohivyo,
Kusema miaka mia pia ina maana, wakati wakifanya uendlezaji na uendeshaji huo, basi sehemu zinazomilikiwa, kukodishwa, kutumika na njia nyingine zote za kumiliki ardhi chini ya msingi wa Mkataba mkuu, na kwa kuzingatia sheria yetu inayosema umiliki wa ardhi itakuwa angalau miaka 33 na miaka 99 hiyo ni kusema miaka 100! maana yake ni kusema kwamba kuna umilele kwani hakuna sehemu tunayoonyeshwa ukomo wa mkataba mama vilevile kama bwana huyu anasema mkataba huu ni msingi tu basi kama ni msingi, inamaanisha kitu sawa na kusema kuna uendelezaji na uendeshaji wa milele.
Hakika haijalishi, lakini, kuruhusu Waarabu kumiliki Bandari ni sawa na ni sawa na matusi mazito sana, tena sana tu dhidi ya Mwafrika/Mtanzania au Mzalendo wowote yule

Nye nye nye nye nyingi sana.
 
Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
TPA Kuna sababu billions za kuwachagua DP World.

Nadhani concern ya watu sio nani awekeze Bali ni Je makubaliano ya ujumla Yana Afya Kwa Nchi?
 
Bado wanajitengenezea maswali na kujijibu wenyewe, maswali ya watanganyika kuhusu vifungu vya ule mkataba wa hovyo bado hawajaweza kuyajibu mpaka sasa.
 
Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
Sasa Msingi si ndo kila kitu kwa kila mwendelezo
 
Waafrika wengi hawana akili. Majibu mbona mepesi sana. Kesho Hali uchumi ikibadilika au vita vikitokea middle East.
 
Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
Yatasemwa mengi,,
Wananchi wako kwenye mkataba...
Uwekezaji ni sahihi. Mkataba je
 
Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
 
Attachments

  • 50657A55-9173-4C65-81E8-A206F66B3725.jpeg
    50657A55-9173-4C65-81E8-A206F66B3725.jpeg
    28.2 KB · Views: 1
TPA hamjakosea, na sisi wajukuu wataolewa Dubai.
 
Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji
Lini mlitangaza tender!? Na kampuni ngapi zilikuja hadi mkachuja na kubaki na hao DPW.!? Mbona mnazidi kutuchefua kwa kutufanya wajinga. Hiki mnachokipanda mavuno yake mtayapata soon.
 
Hii mijitu mingine ni ya kuipotezea tu, ikishakaririshwa tu na kina lissu wao basi hakuna kuelewa tena!
Tuipotezee Ili iweje! Watazidi kutuona sisi ni wajinga. Tukomae nao na ikibidi tufufue na mikataba ya hovyo waliyoingia kipindi cha nyuma. Wezi hawa!
 
Back
Top Bottom