TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

TPA: Tumechagua DPW kwa kuwa mizigo mingi inatoka Mashariki ya Kati

Katika Club House inayoendelea, Mkurugenzi wa TPA, Prostus Mbosa amesema wameichagua DP-World kwa kuwa mizigo mingi ambayo Tanzania inapokea inatokea Mashariki ya kati ambapo DPW alionekana ni msihirika bora ukilinganisha na Maersk na wengineo

Amesema kwa sasa bandari katika high season huwa inapokea meli hadi 20 ambapo inapozidi kutumia muda mwingi bandarini inaongeza gharama kwa mtumiaji wa mwisho, kwa kuwa gharama za meli kuwepo bandarini hulipwa na mwenye mzigo

Kwa sababu hiyo wamelazimika kuboresha huduma, amesema mkataba huo unajikita kwenye kushirikiana katika uendelezaji wa masuala ya badnari na sio kwa miaka mia kama inavyosemwa

Aidha amesema mkataba huu ni msingi wa mikataba mingine, sio mkataba wa uendeshaji

Sawa sio miaka 100 ni miaka mingapi?
 
Tuipotezee Ili iweje! Watazidi kutuona sisi ni wajinga. Tukomae nao na ikibidi tufufue na mikataba ya hovyo waliyoingia kipindi cha nyuma. Wezi hawa!
👏👏👏👏👏🙏🙏👍👍👍💪💪
 
Back
Top Bottom