TPA: Tutajenga Uwanja Mkubwa wa Kisasa wa Mpira wa Michezo hapa Kizimkazi

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Hakika maendeleo hayana mahali.
 
Ukistaajabu ya Chato utayaona ya kizimkazi.

Kuna Uwanja wa ndege mahali watu wanaanikia Mpunga saivi.

Afu hizo hela za ujenzi ni za wafanyakazi wa TPA. DPW au kodi za Watanganyika.?
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Hakika maendeleo hayana mahali.
Walichelewa sana ndugu zangu 🤪🤪
 
Hawa wasiopata faida hiyo pesa wataitoa wapi kama sio uwakala wa DPW!
 
  • Thanks
Reactions: Ebe
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Hakika maendeleo hayana mahali.
Kwa ufadhili wa nani
 
Sikatai.miradi mikubwa kama hiyo Zanzibar lakini serikali iwe na huruma population ya Zanzibar inaongezeka kila siku vizazi vijavyo ardhi watatoa wapi? Wanazidi.kupunguza eneo la makazi Zanzibar ya vizazi vinavyokuja

Zanzibar ilitakiwa tu kubaki sehemu ya kiasili isiyo na mambo.mengi.ya kisasa ili.kuendelea kuvutia watalii

Zanzibar iepuke usasa utaua utalii

Watalii wanakuja Zanzibar kuona uasili sio.usasa kama viwanja vya kisasa nchini kwao wanavyo vizuri kuliko hicho kitajengwa

Napinga ujenzi wa huo uwanja mkubwa wa kisasa kuwa sio uamuzi sahihi
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.

Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.

Hakika maendeleo hayana mahali.
DPWorld
 
Si wameuza wote bandari!! Kwa kipato Gani Cha TPA aseme kua mteja wao DP-WORLD ndio anajenga
 
TPA ndio wanaoahidi kujenga uwanja mkubwa wa kisasa Kizimkazi? Kwa nini mamlaka ya bandari Zanzibar isichuke tenda hiyo? Au zile pesa za wajomba kuhusu bandari za Tanganyika ndio mkondo 😲
 
Baada ya 2025 huo uwanja utakuwa kama ule uwanja wa gbadolite kule congo drc enzi za mobutu
 
Back
Top Bottom