Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Ukistaajabu ya Chato utayaona ya kizimkazi.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.
Walichelewa sana ndugu zangu 🤪🤪Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.
Hawa wasiopata faida hiyo pesa wataitoa wapi kama sio uwakala wa DPW!Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.
Tpa sio swala la muungano, kwanini mapato ya Tanganyika yatumike kuendeleza Zanzibar.
So walisema bandari zao zao ndio maana hawakuhusisha kwenye mkataba was DP world.Nimetoka kuchungulia seheme, bandari ni sehemu ya muungano
Kwa ufadhili wa naniMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.
Ishi sio wao kusema, ishu ni hati ya muungano inasemaje. Watu usema kitu chochote ili wa-win argument.So walisema bandari zao zao ndio maana hawakuhusisha kwenye mkataba was DP world.
Sikatai.miradi mikubwa kama hiyo Zanzibar lakini serikali iwe na huruma population ya Zanzibar inaongezeka kila siku vizazi vijavyo ardhi watatoa wapi? Wanazidi.kupunguza eneo la makazi Zanzibar ya vizazi vinavyokujaMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.
DPWorldMkurugenzi Mkuu wa Mamlaka za Bandari Tanzania Bara (TPA) ameahidi kujenga uwanja mkubwa na wa kisasa wa michezo katika eneo la Kizimkazi, Zanzibar.
Mkurugenzi Mkuu wa TPA ameyasema hayo leo katika kilele cha Tamasha la Kizimkazi huku mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hakika maendeleo hayana mahali.