Kina Bia yetu watakuja mbio kupambana na wewe kuhusu neno "RIG"TPDC hawana vifaa wala hawana rig.
Vilivyokuwepo vilikuwa ni vya wageni. Na tayari walisha viondosha nchini.
Statoil walikuwa na Das Rig (Discovery Americas) na gharama ya ku run rig/day ni zaidi ya USD.800'000/- TPDC wanayo?
Magufuli kajikita kwenye nguvu maji na reli.TPDC hawana vifaa wala hawana rig.
Vilivyokuwepo vilikuwa ni vya wageni. Na tayari walisha viondosha nchini.
Statoil walikuwa na Das Rig (Discovery Americas) na gharama ya ku run rig/day ni zaidi ya USD.800'000/- TPDC wanayo?
Ukweli ni kwamba enzi za mafuta zinaishia labda tuna miaka isiyozidi 20 itakuwa nadra kuona gari la petroleum au dizel magari yatakuwa ya umeme na hydrogen. Bomba la mafuta la Uganda- Tanzania ni ubatili mtupu.Wahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo.
Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere.
TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia kuna habari njema huko.
Habari za gesi na mafuta zilikuwa zinavuma enzi za Muhongo wakati macho ya serikali yaangalia zaidi sekta hiyo. Kwa sasa macho ya serikali yako kwenye STIGLAZ Goji na reli. Mtuache tupumue kidogoWahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo.
Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere.
TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia kuna habari njema huko.
Kwani hup mradi bado upo?Ukweli ni kwamba enzi za mafuta zinaishia labda tuna miaka isiyozidi 20 itakuwa nadra kuona gari la petroleum au dizel magari yatakuwa ya umeme na hydrogen. Bomba la mafuta la Uganda- Tanzania ni ubatili mtupu.
Ni yale yale ndugu yangu corona kwenye mapapai. Hakuna mwenye akili anayewekeza kwenye mafuta tena, wanawekeza kwenye renewable energy. Hata makampuni makubwa kama Total na Shell wanachenji gia kwa kasi kwani wanajua bila hivyo watakufa. Sisi kwa bahati mbaya hatuongozwi na wataalamu tunaongozwa na wanasiasa na hapo ndipo tutakapoangukia.Kwani hup mradi bado upo?
Bado sana kuachana na mafuta. Usitake kunambia Wamarekani wanaowekeza kwenye shale oil na Warusi wanaojenga Nord Stream II kwa mabilioni ya dollars ni wajinga.Ukweli ni kwamba enzi za mafuta zinaishia labda tuna miaka isiyozidi 20 itakuwa nadra kuona gari la petroleum au dizel magari yatakuwa ya umeme na hydrogen. Bomba la mafuta la Uganda- Tanzania ni ubatili mtupu.
Zipo taarifa lakini za development ya hili jambo. Nadhani kuna kazi zinaendelea na zinafanywa na TPDC wenyewe kwa kila kitu.TPDC hawana vifaa wala hawana rig.
Vilivyokuwepo vilikuwa ni vya wageni. Na tayari walisha viondosha nchini.
Statoil walikuwa na Das Rig (Discovery Americas) na gharama ya ku run rig/day ni zaidi ya USD.800'000/- TPDC wanayo?
Asante mkuu. Nitatembelea, ila kama kuna mambo ya kushea hapa tafadhali do the necessary.mkuu karibu kwenye page yetu ya instangram unaweza kupata mawili matatu,. Asante.
TPDC (@tpdctz) β’ Instagram photos and videos
Nchi nyingine zimeacha kabisa kutengeneza magari ya mafuta. Norway kwamfano 35% ya magari yote sasa ni ya umeme. Wanafuata ujerumani, uk, nk. Lengo ni kuacha dizeli inayochafua hewa na jusababisha global warming. Kama ungekuwa unafuatilia habari za renewable energy ungeona namna mataifa mbali mbali yalivyojiwekea mkakati wa kuwa na zero petroleum/dizel cars kabla ya 2040. China sasa inatengeneza almost 50% magari ya umeme.Bado sana kuachana na mafuta. Usitake kunambia Wamarekani wanaowekeza kwenye shale oil na Warusi wanaojenga Nord Stream II kwa mabilioni ya dollars ni wajinga.
Miaka 20 kwenye global investment unaona mingi sio? Kwanza nani kakwambia mafuta kazi yake kuendeshea magari tu. Hayo magari ya umeme yanaweza tumia umeme uliozalishwa kwa mafuta, bado utacheza ligi ileile.
Yaani China wanayatafuta mafuta kila siku. Hivi sasa wanawekeza kwenye shale gas na gas hydrate wanafanya research kila siku. Fuatilia vizuriNchi nyingine zimeacha kabisa kutengeneza magari ya mafuta. Norway kwamfano 35% ya magari yote sasa ni ya umeme. Wanafuata ujerumani, uk, nk. Lengo ni kuacha dizeli inayochafua hewa na jusababisha global warming. Kama ungekuwa unafuatilia habari za renewable energy ungeona namna mataifa mbali mbali yalivyojiwekea mkakati wa kuwa na zero petroleum/dizel cars kabla ya 2040. China sasa inatengeneza almost 50% magari ya umeme.
Doh!TPDC hawana vifaa wala hawana rig.
Vilivyokuwepo vilikuwa ni vya wageni. Na tayari walisha viondosha nchini.
Statoil walikuwa na Das Rig (Discovery Americas) na gharama ya ku run rig/day ni zaidi ya USD.800'000/- TPDC wanayo?
Tafuta kwenye google ni nchi gani inaongoza kwa kuwa na magari mengi zaidi ya umeme na pia mpango mkakati wa China kuhusu mafuta ifikapo 2050.Yaani China wanayatafuta mafuta kila siku. Hivi sasa wanawekeza kwenye shale gas na gas hydrate wanafanya research kila siku. Fuatilia vizuri
Ni Kwa siku chache tu kwani mataifa mengi hayatatumia mafuta tena by 2040. Hivyo mafuta yatakuwa very cheap. Kingine ni kwamba mafuta sio dili kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kutokana na nchi nyingi tu kugundua na kuchimba mafuta. Hii imechangia bei ya mafuta kushuka.mafuta mengi yanatumika kwenye ndege acheni kuota mafuta hayatahitajika π π