TPDC mbona mnatunyima habari nzuri za ugunduzi wa mafuta Tanzania?

TPDC mbona mnatunyima habari nzuri za ugunduzi wa mafuta Tanzania?

Mafuta yanaletaga mgogoro kwenye muungano. Kwani wapemba Wanasemaje
 
Magufuli kajikita kwenye nguvu maji na reli.
Na nguvu maji soon tutaambiwa mambo ya KINA.

The bigest mistake kwenye gas ni kuitumia gas kama inavyotumika petroli badala ya kuwa na gas turbines.
 
Ukweli ni kwamba enzi za mafuta zinaishia labda tuna miaka isiyozidi 20 itakuwa nadra kuona gari la petroleum au dizel magari yatakuwa ya umeme na hydrogen. Bomba la mafuta la Uganda- Tanzania ni ubatili mtupu.
Kuacha kabisa kutumia mafuta ni ngumu labda useme matumiz yatabakia kwenye heavy machines.
 
Nchi nyingine zimeacha kabisa kutengeneza magari ya mafuta. Norway kwamfano 35% ya magari yote sasa ni ya umeme. Wanafuata ujerumani, uk, nk. Lengo ni kuacha dizeli inayochafua hewa na jusababisha global warming. Kama ungekuwa unafuatilia habari za renewable energy ungeona namna mataifa mbali mbali yalivyojiwekea mkakati wa kuwa na zero petroleum/dizel cars kabla ya 2040. China sasa inatengeneza almost 50% magari ya umeme.
Naamini mafuta yatatumika viwandani. Hayo magari ya mafuta yatatumia umeme unaoweza kuzalishwa kwa mafuta vilevile. Renewable energy ni gharama kubwa na inahitaji investment kubwa sana. Ukiachana na Tesla, nitajie kampuni yoyote kubwa ya magari ya umeme. Wakati mimi naweza kuweka makumi ya makampuni ya gari za mafuta.
 
Zipo nyingi tu Ujerumani, China, Japan, USA nk. Hata General Motors wameanza kutengeneza pia. Tesla wanafungua kiwanda kikubwa sana China. Makampuni karibu yote makubwa yana medels zilizopo kwenye market e.g. BMW, chevrolet, Nissan, Volkswagen, Audi, etc
 
Ukiachana na Tesla, makampuni uliyotaja yote yanatengeneza magari ya mafuta. Unatumia vigezo gani kusema miaka 20 ijayo tutakuwa tunatumia magari ya umeme. Yani ni sawa na kuwaambia watu ni lazima wanunue Land Cruiser V8 hizi za wabunge, bei ya V8 ni ndogo kuliko magari yote ya Tesla. Na magari yote ya Tesla ni mini-SUV na sedan, hata Noah ina ujazo kuyazidi. Tesla Cybertruck uilete Bongo ifanye nini.
 
Zipo taarifa lakini za development ya hili jambo. Nadhani kuna kazi zinaendelea na zinafanywa na TPDC wenyewe kwa kila kitu.
Wataishia tu kufanya utafiti wa kwenye makaratasi. Hivi unajua field Kuna product lines ngapi? Je wana Wireline Truck, wana Log Unit, DRT, Turbular Running Services, etc, je Wana hao wataalam?

This field is damn expensive to run, Magufuli hiyo hela ya kuchezea Hana. Je, unafahamu dry well ni Nini?
Mkipata dry well lazima wote muishie jela kwa uhujumu uchumi.
 
Gas yenyewe wameishia kuunganishia watu kumi tu pale mwenge na mikocheni, Oil ndio wataweza?
 
Ukiachana na Tesla, makampuni uliyotaja yote yanatengeneza magari ya mafuta. Unatumia vigezo gani kusema miaka 20 ijayo tutakuwa tunatumia magari ya umeme. Yani ni sawa na kuwaambia watu ni lazima wanunue Land Cruiser V8 hizi za wabunge, bei ya V8 ni ndogo kuliko magari yote ya Tesla. Na magari yote ya Tesla ni mini-SUV na sedan, hata Noah ina ujazo kuyazidi. Tesla Cybertruck uilete Bongo ifanye nini.
Tesla tayari wana Electric model ambayo bei yake haitofautiani sana na petroleum car. Na bei za magari ya umeme zinashuka kwa kasi kila siku.

Tena hili hapa ni cheaper kuliko hata baadhi ya magari ya petrol.

The least-expensive 2020 Tesla Model 3 is the 2020 Tesla Model 3 Standard Range Plus 4dr Sedan (electric DD). Including destination charge, it arrives with a Manufacturer's Suggested Retail Price (MSRP) of about $39,990. Other versions include: Performance 4dr Sedan AWD (electric DD) which starts at $56,990. https://encrypted-tbn0.gstatic.com/...S91-g4uk2Qvj-uXNKqqMAxa64ElQXAVxcn6FAurlM7A&s
 
RIP -Sadamu husein na Ghadafi wote waliuwawa kwa ajili ya utajiri wa nchi zao,
Mbeberu hawako tayari kukuona unamiliki mwenyewe ''Investment'' yote ya uchimbaji mafuta ama Gas na uuzji wake.

kwa maana hiyo ni lazima ukubali kuliwa na mabeberu ili na wewe ule kidogo. Hutaki hivyo Rasilimali yako itabaki ardhini forever.

Na hata kama utajaribu kuchimba kwa ushabiki wako na ukafanikiwa kuipata,Hutapewa nafasi ya soko Ng'o duniani ,ila kwa kupitia makampuni yao nguli ya kibeberu duniani ili upatikane uliwe kidogohiyoili upate nafasi ya kuuza chako.

Hii ndio dunia ya leo na wazungu walivyo ''monopolize ' uchumi wa dunia hasa Mafuta na Gas.
 
TPDC hawana vifaa wala hawana rig.
Vilivyokuwepo vilikuwa ni vya wageni. Na tayari walisha viondosha nchini.
Statoil walikuwa na Das Rig (Discovery Americas) na gharama ya ku run rig/day ni zaidi ya USD.800'000/- TPDC wanayo?
Technically hauhitaji kuwa na rig maana rig nyingi zinakodiwa na sio kazi ya TPDC, rig kazi yake ni kuchimba tu baada ya kisima kupatikana rig haitumiki tena na kwa sasa hivi for rock studies TPDC anatumia rig za STAMICO kampuni ya serikali ya Tz kwani hizo rig zinachimba mpaka mita 700+
 
Wahusika wa TPDC basi angalau muwe mnatupa updates za mara kwa mara juu ya ugunduzi wa mafuta na uchimbaji wa visima hivyo.

Kwa wasiojua, ipo harufu ya mafuta katika maeneo ya ziwa rukwa, ziwa tanganyika na maeneo ya eyasi wembere.

TPDC tokeni mtuambie kwenye visima mmeona nini maana tunasikia kuna habari njema huko.
Kwa sasa industry ya mafuta iko shaken si Tz hata duniani kote...Tanzania ni nchi inayoendelea kujifunza kutoka nchi zilizofanikiwa zaidi kwenye mafuta kama Norway
 
Ni Kwa siku chache tu kwani mataifa mengi hayatatumia mafuta tena by 2040. Hivyo mafuta yatakuwa very cheap. Kingine ni kwamba mafuta sio dili kama ilivyokuwa miaka ya nyuma kutokana na nchi nyingi tu kugundua na kuchimba mafuta. Hii imechangia bei ya mafuta kushuka.
Matumizi ya oil and gas yalikuwepo,yapo na yatakuwepo nothing can replace Petroleum...gundua leo mafuta ya kutosha uone kama hutavamiwa na nchi ikawa na vita kila mara.

Tanzania ipo njiani kujenga LNG yaani bomba la gesi iliyogeuzwa kuwa kama maji litakalo kaa zaidi ya 50+ years kwa ajili ya kuuza gesi kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki na zaidi
 
Mabadiliko makubwa yanakuja petrol itakuwa kitu cha kale baada ya miaka 30-50. Soma na fuatilia masuala ya renewable energy utagundua ninayosema. Hakuna aliyefikiri biashara ya Internet cafe ingekuwa obsolete leo na hii imetokea katika muda mfupi sana nikiona.
 
Hata siwaelewi hao TPDC, gesi asilia in magari 400 gesi ya kupikia ni nyumba 50 mpaka sasa hizi akili matope.
 
Back
Top Bottom