RIP -Sadamu husein na Ghadafi wote waliuwawa kwa ajili ya utajiri wa nchi zao,
Mbeberu hawako tayari kukuona unamiliki mwenyewe ''Investment'' yote ya uchimbaji mafuta ama Gas na uuzji wake.
kwa maana hiyo ni lazima ukubali kuliwa na mabeberu ili na wewe ule kidogo. Hutaki hivyo Rasilimali yako itabaki ardhini forever.
Na hata kama utajaribu kuchimba kwa ushabiki wako na ukafanikiwa kuipata,Hutapewa nafasi ya soko Ng'o duniani ,ila kwa kupitia makampuni yao nguli ya kibeberu duniani ili upatikane uliwe kidogohiyoili upate nafasi ya kuuza chako.
Hii ndio dunia ya leo na wazungu walivyo ''monopolize ' uchumi wa dunia hasa Mafuta na Gas.