FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Wanapowekeza kwenye mradi wa umeme Rufiji na meadi wa trene ya umeme Dar hadi Mwanza wewe unaelewa nini kwani?Ni yale yale ndugu yangu corona kwenye mapapai. Hakuna mwenye akili anayewekeza kwenye mafuta tena, wanawekeza kwenye renewable energy. Hata makampuni makubwa kama Total na Shell wanachenji gia kwa kasi kwani wanajua bila hivyo watakufa. Sisi kwa bahati mbaya hatuongozwi na wataalamu tunaongozwa na wanasiasa na hapo ndipo tutakapoangukia.
Acha ushamba wewe Toyota mbona wanazitengeneza Tena zingine mpaka dola 3000 kwa CIF , Na hapa bongo nimeshaziona nyingi tuUkiachana na Tesla, makampuni uliyotaja yote yanatengeneza magari ya mafuta. Unatumia vigezo gani kusema miaka 20 ijayo tutakuwa tunatumia magari ya umeme. Yani ni sawa na kuwaambia watu ni lazima wanunue Land Cruiser V8 hizi za wabunge, bei ya V8 ni ndogo kuliko magari yote ya Tesla. Na magari yote ya Tesla ni mini-SUV na sedan, hata Noah ina ujazo kuyazidi. Tesla Cybertruck uilete Bongo ifanye nini.
Unaishi karne ya ngapi we mzanzibari?RIP -Sadamu husein na Ghadafi wote waliuwawa kwa ajili ya utajiri wa nchi zao,
Mbeberu hawako tayari kukuona unamiliki mwenyewe ''Investment'' yote ya uchimbaji mafuta ama Gas na uuzji wake.
kwa maana hiyo ni lazima ukubali kuliwa na mabeberu ili na wewe ule kidogo. Hutaki hivyo Rasilimali yako itabaki ardhini forever.
Na hata kama utajaribu kuchimba kwa ushabiki wako na ukafanikiwa kuipata,Hutapewa nafasi ya soko Ng'o duniani ,ila kwa kupitia makampuni yao nguli ya kibeberu duniani ili upatikane uliwe kidogohiyoili upate nafasi ya kuuza chako.
Hii ndio dunia ya leo na wazungu walivyo ''monopolize ' uchumi wa dunia hasa Mafuta na Gas.
Mtambo wa kujaza gesi kwenye magari upo ubungo pekee nchi nzima, halafu useme hii nchi watu wapo serious. Sisi tunachoweza ni siasa za majitaka kukata maviuno kwenye majukwaa...unapata kofia, t-shirt na buku tano unaenda kununua dona na matembele.Tangu gesi ilipogunduliwa ni zaidi ya miaka 45 na hatujawahi kuiuza gesi hiyo nje. We have been so sluggish in tapping this important resource for export. Kenya wamegundua mafuta miaka takriban minne na tayari wana export sasa hivi. Uganda vile vile wata-export mara tu bomba la mafuta litakapo kamilika. Sisi tuna bong'aa macho tu na maneno mengi na ile dira ya Kikwete ya uchumi wa gesi ilipotelea kwenye drain. Kama tungekuwa serious na uchumi was gesi from the get go, sasa hivi tungekuwa kwenye uchumi wa kati daraja la juu.
Sina uhakika na TPDC has what it takes to do the exploration work due to lack massive capital investment required and technical expertise.
Kama hiyo LNG plant ni maji marefu, hiyo fertilizer plant nayo vipi? Tuendelee tu kuagiza mbolea kutoka nje?
Wewe ndo mshamba kwa maana hujui tofauti ya hybrid car na electric car. Tesla anatengeneza hybrid? Au ulishawahi sikia anatengeneza conventional car?Acha ushamba wewe Toyota mbona wanazitengeneza Tena zingine mpaka dola 3000 kwa CIF , Na hapa bongo nimeshaziona nyingi tu
View attachment 1506168
Hapo kwenye export mafuta Kenya embu kuwa updated.Tangu gesi ilipogunduliwa ni zaidi ya miaka 45 na hatujawahi kuiuza gesi hiyo nje. We have been so sluggish in tapping this important resource for export. Kenya wamegundua mafuta miaka takriban minne na tayari wana export sasa hivi. Uganda vile vile wata-export mara tu bomba la mafuta litakapo kamilika. Sisi tuna bong'aa macho tu na maneno mengi na ile dira ya Kikwete ya uchumi wa gesi ilipotelea kwenye drain. Kama tungekuwa serious na uchumi was gesi from the get go, sasa hivi tungekuwa kwenye uchumi wa kati daraja la juu.
Sina uhakika na TPDC has what it takes to do the exploration work due to lack massive capital investment required and technical expertise.
Kama hiyo LNG plant ni maji marefu, hiyo fertilizer plant nayo vipi? Tuendelee tu kuagiza mbolea kutoka nje?
Ulinijuaje kuwa mimi Mzenji?Unaishi karne ya ngapi we mzanzibari?
Wewe ni Mzanzibari.Ulinijuaje kuwa mimi Mzenji?
Nimeishi tokea karne ya 20 iliyopita hadi hii ya 21, bado nipo.
Vipi kuna mahali nime coment kizamani zamani?
Ila hybrid cars ni yale yanatumia mafuta na umeme mzee π π π , tukubaliane kwanza hapo then tuendeleeAcha ushamba wewe Toyota mbona wanazitengeneza Tena zingine mpaka dola 3000 kwa CIF , Na hapa bongo nimeshaziona nyingi tu
View attachment 1506168
Tangu gesi ilipogunduliwa ni zaidi ya miaka 45 na hatujawahi kuiuza gesi hiyo nje. We have been so sluggish in tapping this important resource for export. Kenya wamegundua mafuta miaka takriban minne na tayari wana export sasa hivi. Uganda vile vile wata-export mara tu bomba la mafuta litakapo kamilika. Sisi tuna bong'aa macho tu na maneno mengi na ile dira ya Kikwete ya uchumi wa gesi ilipotelea kwenye drain. Kama tungekuwa serious na uchumi was gesi from the get go, sasa hivi tungekuwa kwenye uchumi wa kati daraja la juu.
Sina uhakika na TPDC has what it takes to do the exploration work due to lack massive capital investment required and technical expertise.
Kama hiyo LNG plant ni maji marefu, hiyo fertilizer plant nayo vipi? Tuendelee tu kuagiza mbolea kutoka nje?
Mzee mi nakwambia makampuni ya kutengeneza electric car tu. Wewe unanitajia kampuni iliyotengeneza magari mchanganyiko. Umeona mwanzoni ume-quote nini? Unahisi kwa nini nimetaja Tesla pekee wakati kuna makampuni kibao wanatengeneza magari.We kenge acha upumbavu wako ingia website ya Toyota uone Kama Hakuna gari za electricity... Au ingia befoward uone Kama Hakuna gari za Suzuki au Toyota
Huyu anachanganya madesa.Ila hybrid cars ni yale yanatumia mafuta na umeme mzee π π π , tukubaliane kwanza hapo then tuendelee