Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kwanza kabisa Gesi zipo za aina mbili
Wako watu wameshangaa kwanini gesi ya majumbani inatoka nje ya nchi ilihali tunachimba hapa Tanzania
Gesi tunayochimba hapa Tanzania ni methane, gesi ya majumbani ni probane na butane ni ukweli kwenye gesi inayochimbwa kuna propane na butane na vitu vingine kama hydrogen, na carbon
Ila kwango cha propane na butane huwa ni kidogo sana kwenye gesi asilia inayochimbwa mfano kwa gesi inayochimbwa Tanzania kiwango cha propane na butane ni chini ya asilimia 1 huku asilima 99 ikiwa ni methane,
𝘒𝘢𝘣𝘭𝘢 𝘴𝘪𝘫𝘢𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘫𝘢𝘮𝘣𝘰 𝘢𝘮𝘣𝘢𝘭𝘰 𝘯𝘪𝘯𝘨𝘦𝘱𝘦𝘯𝘥𝘢 𝘬𝘶𝘭𝘪𝘦𝘭𝘦𝘻𝘦𝘢 𝘨𝘦𝘴𝘪 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘢 𝘪𝘯𝘢𝘺𝘰𝘤𝘩𝘪𝘮𝘣𝘸𝘢 𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘢𝘶 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘬𝘪𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘳𝘦𝘧𝘶 𝘪𝘯𝘢𝘪𝘵𝘸𝘢 𝘥𝘳𝘺 𝘨𝘢𝘴 𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘢 𝘯𝘢 𝘮𝘦𝘵𝘩𝘢𝘯𝘦 𝘬𝘸𝘢 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘸𝘢𝘯𝘨𝘰 𝘬𝘪𝘥𝘰𝘨𝘰 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘤𝘩𝘢 𝘱𝘳𝘰𝘱𝘢𝘯𝘦 𝘯𝘢 𝘣𝘶𝘵𝘢𝘯𝘦, 𝘯𝘢 𝘪𝘭𝘦 𝘨𝘦𝘴𝘪 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘢 𝘪𝘯𝘢𝘺𝘰𝘤𝘩𝘪𝘮𝘣𝘸𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘬𝘪𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘧𝘶𝘱𝘪 𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘢 𝘯𝘢 𝘱𝘳𝘰𝘱𝘢𝘯𝘦 𝘯𝘢 𝘣𝘶𝘵𝘢𝘯𝘦 𝘬𝘸𝘢 𝘬𝘪𝘸𝘢𝘯𝘨𝘰 𝘬𝘪𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢 𝘩𝘪𝘪 𝘪𝘯𝘢𝘧𝘢𝘢 𝘬𝘶𝘻𝘢𝘭𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘓𝘗𝘎
Kwa hiyo zile nchi zinazochimba gesi asilia kwenye kina kirefu sana inakua ni ngumu kuzalisha LPG, ila wale wanaochimba kwenye kina kifupi inakua ni rahis kwao kuzalisha LPG sababu gesi asilia wanayochimba inakua na propane na butane nyingi
KWANINI TANZANIA TUNAIMPORT LPG ZIKO SABABU KADHAA
- Methane ambayo inaitwa Liquified Natural gesi hii ndo ile inayosambazwa na bomba majumbani
- Propane na butane ambayo ni Liquified Petroleum gesi na hizi ndo zile za mitungi kama Taifa gesi, oryz n.k
Wako watu wameshangaa kwanini gesi ya majumbani inatoka nje ya nchi ilihali tunachimba hapa Tanzania
Gesi tunayochimba hapa Tanzania ni methane, gesi ya majumbani ni probane na butane ni ukweli kwenye gesi inayochimbwa kuna propane na butane na vitu vingine kama hydrogen, na carbon
Ila kwango cha propane na butane huwa ni kidogo sana kwenye gesi asilia inayochimbwa mfano kwa gesi inayochimbwa Tanzania kiwango cha propane na butane ni chini ya asilimia 1 huku asilima 99 ikiwa ni methane,
𝘒𝘢𝘣𝘭𝘢 𝘴𝘪𝘫𝘢𝘦𝘯𝘥𝘦𝘭𝘦𝘢 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘫𝘢𝘮𝘣𝘰 𝘢𝘮𝘣𝘢𝘭𝘰 𝘯𝘪𝘯𝘨𝘦𝘱𝘦𝘯𝘥𝘢 𝘬𝘶𝘭𝘪𝘦𝘭𝘦𝘻𝘦𝘢 𝘨𝘦𝘴𝘪 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘢 𝘪𝘯𝘢𝘺𝘰𝘤𝘩𝘪𝘮𝘣𝘸𝘢 𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘢𝘶 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘬𝘪𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘳𝘦𝘧𝘶 𝘪𝘯𝘢𝘪𝘵𝘸𝘢 𝘥𝘳𝘺 𝘨𝘢𝘴 𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘢 𝘯𝘢 𝘮𝘦𝘵𝘩𝘢𝘯𝘦 𝘬𝘸𝘢 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘸𝘢𝘯𝘨𝘰 𝘬𝘪𝘥𝘰𝘨𝘰 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘤𝘩𝘢 𝘱𝘳𝘰𝘱𝘢𝘯𝘦 𝘯𝘢 𝘣𝘶𝘵𝘢𝘯𝘦, 𝘯𝘢 𝘪𝘭𝘦 𝘨𝘦𝘴𝘪 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘢 𝘪𝘯𝘢𝘺𝘰𝘤𝘩𝘪𝘮𝘣𝘸𝘢 𝘬𝘸𝘦𝘯𝘺𝘦 𝘬𝘪𝘯𝘢 𝘬𝘪𝘧𝘶𝘱𝘪 𝘪𝘯𝘢𝘬𝘶𝘢 𝘯𝘢 𝘱𝘳𝘰𝘱𝘢𝘯𝘦 𝘯𝘢 𝘣𝘶𝘵𝘢𝘯𝘦 𝘬𝘸𝘢 𝘬𝘪𝘸𝘢𝘯𝘨𝘰 𝘬𝘪𝘬𝘶𝘣𝘸𝘢 𝘴𝘢𝘯𝘢 𝘯𝘢 𝘩𝘪𝘪 𝘪𝘯𝘢𝘧𝘢𝘢 𝘬𝘶𝘻𝘢𝘭𝘪𝘴𝘩𝘢 𝘓𝘗𝘎
Kwa hiyo zile nchi zinazochimba gesi asilia kwenye kina kirefu sana inakua ni ngumu kuzalisha LPG, ila wale wanaochimba kwenye kina kifupi inakua ni rahis kwao kuzalisha LPG sababu gesi asilia wanayochimba inakua na propane na butane nyingi
KWANINI TANZANIA TUNAIMPORT LPG ZIKO SABABU KADHAA
- Kwa kiwango hiki kidogo cha propane na butane ni ngumu sana kuzalisha LPG gesi ya majumbani na ndo maana sisi tuna-gesi asilia na tunachimba ila tunaagiza nje ya nchi LPG kwa sababu inakua haina economic viable kwa njia rahisi ni ku-import since Tanzania hatuna crude oil refinery ambayo ndo huzalisha kirahisi LPG
- Sababu ya pili inaweza ikawa ni kutokuwa na uwekezaji mkubwa kwenye gas processing plant ambayo inachakata propane na butane kutoka kwenye gesi asilia
- Tunaweza vutia waekezaji wa crude oil refinery ambayo pia nayo inatumika kuzalisha LPG mfano uwekezaji wa Tanga wa crude oil ukikamilika basi LPG itakuwa inazalishwa hapa Tanzania