TPDC wanaposema gesi ya majumbani (LPG) inatoka nje ya nchi wanamaana gani ilihali tunachimba gesi hapa Tanzania

Sio kweli kujenga mabomba inahitaji mtaji mkubwa na mipango miji iliyonyooka kwa bahati mbaya sehemu kubwa ya Tanzania ni squatter kwa hiyo ni hatari kupeleka miundombinu ya gesi majumbani kwa watu

Maji tu ya dawasa ni mtihani sembuse mambomba ya gesi
So hata ikisambazwa tutafaidika sisi tunaoishi Ploti namba—-?
 
Kwanza kabisa Gesi zipo za aina mbili
  1. Methane ambayo inaitwa Liquified Natural gesi hii ndo ile inayosambazwa na bomba majumbani
  2. Propane na butane ambayo ni Liquified Petroleum gesi na hizi ndo zile za mitungi kama Taifa gesi, oryz n.k
MAELEZO YA TPDC YALILENGA GESI NAMBA MBILI LPG (AMBAYO NI PROPANE NA BUTANE) NA SIO NAMBA MOJA LNG

Wako watu wameshangaa kwanini gesi ya majumbani inatoka nje ya nchi ilihali tunachimba hapa Tanzania

Gesi tunayochimba hapa Tanzania ni methane, gesi ya majumbani ni probane na butane ni ukweli kwenye gesi inayochimbwa kuna propane na butane na vitu vingine kama hydrogen, na carbon

Kiwango cha propane na butane huwa ni kidogo sana kwenye gesi asilia inayochimbwa mfano kwa gesi inayochimbwa Tanzania kiwango cha propane na butane ni chini ya asilimia 1 huku asilima 99 ikiwa ni methane

Kwa kiwango hiki kidogo cha propane na butane ni ngumu sana kuzalisha LPG gesi ya majumbani na ndo maana sisi tuna-gesi asilia na tunachimba ila tunaagiza nje ya nchi LPG nje ya nchi

Ila sasa kama tunataka kuzalisha LPG gesi za majumbani ni vizuri tukawa na crude oil refinery hapa Tanzania kwa sababu ndo inazalisha hizi LPG kwa urahisi zaidi
Sikuwahi kufahamu kama LPG ni by product ya crude oil. Nimeelewa kwanini Ruto ametumia nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote apeleke refinery project kenya.
 
Sio kweli kujenga mabomba inahitaji mtaji mkubwa na mipango miji iliyonyooka kwa bahati mbaya sehemu kubwa ya Tanzania ni squatter kwa hiyo ni hatari kupeleka miundombinu ya gesi majumbani kwa watu

Maji tu ya dawasa ni mtihani sembuse mambomba ya gesi
Kwani bomba la gesi lililoenda huko Wazo toka Mtwara lilipita mbinguni?

Sililipita kwenye maeneo mbali mbali ya jiji la Dar?

Kwa hiyo wameshindwa kuweka hayo mabomba huko Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach,Kigamboni kwa ajili ya squatter?
 
Sikuwahi kufahamu kama LPG ni by product ya crude oil. Nimeelewa kwanini Ruto ametumia nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote apeleke refinery project kenya.
Sio yote ni asilimia kama 50 kwa 50 kama sijakosea au 40 kwa 60 , gasi asilia pia inatumika katika kuipata LPG .. Ishu kutwa , utapigwa chenga ila tatizo ni miuondombinu .kwa nchi yetu wakiweka hiyo miundominu basi gharama zinaweza kupaa zaidi .
 
Afadhali Sasa umeelewa unaweza kwenda kumfundisha na Heche
Baada uende kuwafundisha malofa wa CCM ambao wameshindwa kuwatoa wananchi kwenye umasikini pamoja na kuwa na 60 trillion cubic feet za gesi asilia hapo Mtwara.
 
Kwani bomba la gesi lililoenda huko Wazo toka Mtwara lilipita mbinguni?

Sililipita kwenye maeneo mbali mbali ya jiji la Dar?

Kwa hiyo wameshindwa kuweka hayo mabomba huko Oysterbay, Masaki, Mbezi Beach,Kigamboni kwa ajili ya squatter?
Bomba la maji limetushinda kuwasambazia wananchi wote ndo sembuse bomba la gesi
 
Sio yote ni asilimia kama 50 kwa 50 kama sijakosea au 40 kwa 60 , gasi asilia pia inatumika katika kuipata LPG .. Ishu kutwa , utapigwa chenga ila tatizo ni miuondombinu .kwa nchi yetu wakiweka hiyo miundominu basi gharama zinaweza kupaa zaidi .
Dunia kote nchi nyingi zinaprefer crude oil refinery kuzalisha LPG na sio methane ulishawahi jiuliza hili swali

Kuzalisha LPG kutoka kwenye methane haina economic viable mbona iko wazi
 
Kwanza kabisa Gesi zipo za aina mbili
  1. Methane ambayo inaitwa Liquified Natural gesi hii ndo ile inayosambazwa na bomba majumbani
  2. Propane na butane ambayo ni Liquified Petroleum gesi na hizi ndo zile za mitungi kama Taifa gesi, oryz n.k
MAELEZO YA TPDC YALILENGA GESI NAMBA MBILI LPG (AMBAYO NI PROPANE NA BUTANE) NA SIO NAMBA MOJA LNG

Wako watu wameshangaa kwanini gesi ya majumbani inatoka nje ya nchi ilihali tunachimba hapa Tanzania

Gesi tunayochimba hapa Tanzania ni methane, gesi ya majumbani ni probane na butane ni ukweli kwenye gesi inayochimbwa kuna propane na butane na vitu vingine kama hydrogen, na carbon

Kiwango cha propane na butane huwa ni kidogo sana kwenye gesi asilia inayochimbwa mfano kwa gesi inayochimbwa Tanzania kiwango cha propane na butane ni chini ya asilimia 1 huku asilima 99 ikiwa ni methane

Kwa kiwango hiki kidogo cha propane na butane ni ngumu sana kuzalisha LPG gesi ya majumbani na ndo maana sisi tuna-gesi asilia na tunachimba ila tunaagiza nje ya nchi LPG nje ya nchi

Ila sasa kama tunataka kuzalisha LPG gesi za majumbani ni vizuri tukawa na crude oil refinery hapa Tanzania kwa sababu ndo inazalisha hizi LPG kwa urahisi zaidi
Shule nzuri, pamoja na kuwa na bichwa ngumu, nimeelewa.
 
Lakini inapokuja kwenye kununua ma-vx hatuulizi kama tuna uwezo...
Unajua mtaji wa kusambaza bomba la gesi
HAKIKISHA WANANCHI WAKO WANAUNGANISHWA NA BOMBA LA MAJI NA MAJI YANATOKA 24/7 NDO UFIKIRIE KUWAUNGANISHIA GESI

NA PIA HAKIKISHA UNAMIPANGO MIJI ILIYONYOOKA NA SIO HIZI SQUATTER NDO UFIKIRIE GESI

USIRUKE HATUA
 
hi
Gesi ya mtwara ambayo ni LNG na LPG zote ni gesi na zinatumika majumbani ila content tofauti

TPDC walitolea maelezo hizi gesi za mitungi ambazo ni LPG kama taifa gesi, oryx, manjis n.k na sio LNG
lo linaeleweka, je kna mpango wowote wa ile ya mtwara kwenda majumbani kuongezeka? mkakati wao kwa sasa ni upi?
 
Kwanza kabisa Gesi zipo za aina mbili
  1. Methane ambayo inaitwa Liquified Natural gesi hii ndo ile inayosambazwa na bomba majumbani
  2. Propane na butane ambayo ni Liquified Petroleum gesi na hizi ndo zile za mitungi kama Taifa gesi, oryz n.k
MAELEZO YA TPDC YALILENGA GESI NAMBA MBILI LPG (AMBAYO NI PROPANE NA BUTANE) NA SIO NAMBA MOJA LNG

Wako watu wameshangaa kwanini gesi ya majumbani inatoka nje ya nchi ilihali tunachimba hapa Tanzania

Gesi tunayochimba hapa Tanzania ni methane, gesi ya majumbani ni probane na butane ni ukweli kwenye gesi inayochimbwa kuna propane na butane na vitu vingine kama hydrogen, na carbon

Ila kwango cha propane na butane huwa ni kidogo sana kwenye gesi asilia inayochimbwa mfano kwa gesi inayochimbwa Tanzania kiwango cha propane na butane ni chini ya asilimia 1 huku asilima 99 ikiwa ni methane,

Kwa kiwango hiki kidogo cha propane na butane ni ngumu sana kuzalisha LPG gesi ya majumbani na ndo maana sisi tuna-gesi asilia na tunachimba ila tunaagiza nje ya nchi LPG kwa sababu inakua haina economic viable kwa njia rahisi ni ku-import since Tanzania hatuna crude oil refinery ambayo ndo huzalisha kirahisi LPG

Ila sasa kama tunataka kuzalisha LPG gesi za majumbani ni vizuri tukawa na crude oil refinery hapa Tanzania kwa sababu ndo inazalisha hizi LPG kwa urahisi zaidi ndo maana ni muhimu sana kuwa na crude oil refinery na moja ya faida zake nyingi ni kuzalisha LPG
Mabomba yote ya gesi ambayo yamekuwa connected kwa matumizi majumbani katika nchi za ulaya ni methane,ambayo ndiyo itakuwa zao kuu katka hiyo project ya Lindi.
Sijajua mpango wa kusambaza mamba ya gesi maeneo ya Osterbay na Mikocheni,TPFC walimaamisha kusambaza gesi ya aina gani.
Itakuwa ni ajabu kama wenzetu maeneo mengine duniani wasambaze mabomba ya gesi ya methane majimbani lakini sisi tutumie gesi za vidumu kutoka nje..kwa gharama ya kupoteza dollar iliyovunwa kwa jasho kupitia vyanzo vingine
 
Mabomba ya maji yametushinda kuwasambazia wananchi ndo sembuse mabomba ya gesi
 
Back
Top Bottom