TPDF malizieni kazi, M23 wamejikusanya karibu na nyumbani kwao Kanyabayonga na wapo Kama wote!

Una uhakika na ulicho andika mkuu.
Tpdf na majeshi mengine ya MALAWI , SOUTH AFRýKEEPING.
Humu watu wanaongelea ushabiki tu wala hwana elimu ya nini kinaendelea DRC kwa sasa.

Watz wachache sana wenye uwezo wa kufatilia habari za duniani. Wengi wanapenda ushabiki na ligi.

Kuna mtu mpka leo anakanusha role ya helkopita za south Afrika kwenye kufifisha mashambulizi ya m23 mwaka 2014 na kupelekea m23 kushindwa.

Wapo watanzania mpaka leo hawui key role ya SAMIDC nchini DRC. Eti hawaruhusiwi kupigana kwa sababu wanalinda raia. Unalindaje raia ikiwa huna uwezo wa kumwangamiza adui wa hao raia? Wewe unao walinda raia unapigwa na kuteketezwa vifaa vyako na huna uwezo wa kulipiza.
Wewe unaelinda raia hunauwezo wa kujilinda.

Hakuna kiumbe anaeweza kujiuliza kwa nini SAMIDRC haijawhi kuteka hata cm 1 ya eneo kutoka kwa m23 wakati hao m23 kila kukicha wanateka maeneo kutoka mikononi mwa serikli na washirika wake.

Mara kadhaa mpaka juzi tumesikia m23 wameshambulia vikosi vya FARDC na washirika wake na kutia hasara lakini hatuoni mashambulizi ya maana dhidi ya m23 ama hasara.

Leo Wa south Africa wako kwenye mjadala wa kutaka vikosi vyao viondoke DRC kwani mpaka sasa askari wake 5 wameuwawa na majeruhi takribani askari 40. Wasauzi wanalaumu serikali kwa ukata katika jeshi ikiwamo kukosa uwezo wa kumiliki helkopita za mashambulizi kwa ajili ya kukinga vikosi vyao.

Mwanzoni mwa mwezi wa march m23 walipeleka uwanja wa vita mitambo ya kudungulia ndege aina ya SAM ambayo iliondolewa baada ya kupigiwa kelele sana na UN kuwa iondolewe.

M23 ya leo hakuna wa kuitingisha maana ni bora sana kwa sababu imeimarishwa na RDF ambao wanapigana full scale na kwa siraha za kisasa . Msauzi ambae ndie mwenye nguvu kwenye kikosi cha sadc ameshaona msala hivyo muda wowote anaondoa vikosi maana kelele nyimbani zinazidi kuongezeka.

Akili ya kwida tu jiulize hili swali. M23 ambao wana saidiwa kwa ukaribu na Rwanda wanapigana na majeshi ya serikali yanayosidiwa na Burundi, SADC, Wazakendo,FDNL na mkundi zaidi ya 5 ya wanamgambo lakini bado serikali haitoboi

Nirudie tu kuwambia huwezi kumshinda adui unae mdharau kwa kufuata historia yake ya jana.
 
Mtusi umeandika pumba kusifia watusi wenzio,Kuna limitations ziliwekwa kwa hayo majeshi ya nje yasiende na silaha zao Bali watazikuta hukohuko,ndiyo maana sandf,tpdf hawakwenda na silaha zao,tpdf walipoingilia Kuna miji ilirudishwa,hiyo miji waliyoteka itarydishwa tu,Wacha wajistreach
 
Hujui kitu wewe wewe kwenye international issues. Na hujui kinachoendelea kwenye uwanja pale DRC, wala huna uwezo wa kusom, kusikiliza na kuelewa habari kutoka relible source kubwa duniani.

Oparation zote za SADC zinategemea nguvu ya jeshi la Sauz. Sasa huvi SANDF ina ukata wa kifedha kiasi kwamba imeshindwa hata kukarabati helikopita zake zile ilitumia mwaka 2014 ilipo pata ushindi dhidi ya m23.

SADC yenyewe iko hoi taabani kugharamia oparation zake za kijeshi. Wamefunga virago kule Msumbiji kwa ajili ya ukata.

Pale DRC wanategemea kwa kiasi kikubwa vifaa vya mwenyeji wao DRC ambavyo viko duni kulingnisha na vya adui.

SANDF imekuwa ikipewa bajeti kiduchu na serikli ya suzi kuweza kuboresha zana na utendaji wa jeshi
hali ni ngumu sana.

Kwa akili yako ya kawaida huwezi kwenda kupigana vita ya kuuwana na dui halafu ukachaguliwa silaha isipokuwa silaha za sumu na kemikali tu ndizo zimepigwa marifuku.

Askari wako pale vitani DRC sio kuburudishana bali kutoana roho kila inapo bidi ama fursa kutokea. Maana ya vita ni kuangamiza adui kwa kumtoa roho sio kumkatia viuno. Kama hulijui hili shauri yako.

Kama SAMIDRC ingekuwa limited kwa silaha za kukabiliana na adui yake basi wangeshajitoa kuliko kuendelea kupigwa kama ilivyo sasa.

Wacha kuongea upoyoyo, weka ushahidi wa miji iliyotekwa na jeshi la serikali pamoja na Sadc kutoka mikononi mwa waasi tangu waingie hapo drc au taja tarehe ya shambulio lolote la maana lililofanywa na jeshi la serikali na washirika wake dhidi ya waasi.

Vita ya Kongo iko phase ambayo ni ngumu sana kwa vikosi vya serikali na washirika wake kwa sababu ya mazoea ya viongozi na kutotaka kubadilika.

Kwa sasa ni vigumu sana na haiwezekani kuwapiga m23 labda kama hao Sadc watafanya maboresho makubwa ya logistic nzima za kuweza kuwakabili m23 ambao wako very organized na modern weapon technology.

Bila AU kuisaport Sadc kwa fund oparetion zake pale DRC yatakayo fuatia ni kama yale ya Msumbiji ya kukimbia uwnja wa mapambano na kumwacha adui ajivinjari
 
Unaandika Tena shudu kuidogosha jwtz,kwamba 2013 aliyeshinda ni sandf ilhali jwtz/tpdf ndiyo walioingia Chaka kwa Chaka,hao watusi wenzio waliposia tpdf wanaenda,wakaanza porojo nyingi,wanaijua shughuli, ukweli ni kwamba vikosi vilienda bila silaha zao kwamba watazikuta huko,plus kwa taarifa za Leo fardc haishambulii waasi,inawaacha tu wajongee,
 
Aaaaaiiiseeee! Kumbe ma alshabab yanamlengo wa kidini!!!!!!!?????
Bora ungekua wa kidini.
Alshabaab wana vita ya kikabila,ni ngumu kuingilia mzozo wa kikabila ambao una mafungamano ya kidini ili kugombania utawala.
Vita hizi huwa hazielewekagi,maana hata raia wa kawaida kabila la Alshabaab anaweza kuwa adui.
 
Mmmmmh!Bro we ni MUONGO tena MUONGO sana.
Kikosi cha SADC hakitegemei SANDF kuendesha operation zake.
Kila jeshi pale imeenda na silaha zake,Mathalan 2013 JWTZ ilitumia silaha zake kupambana na JWTZ na wao ndio walioongoza ground operation kumuondoa M23.
Hata mwaka huu SADC iliposhambuliwa maficho ya M23 zilitumia roketi za JWTZ za Smerch-21 MLRS ambazo hata gari zake ziliandikwa plate no yake JW.
SANDF huwa mara nyingi husaidia upande wa mashambulizi ya anga,na bajeti ya kujiendesha wao wenyewe ndio imewashinda ila sio bajeti ya kuendesha operation nzima.
Na kinachokwamisha mashambulizi kutokuendelea ni UNAMID.
Hawa jamaa ndio waratibu wa kila kitu pale DRC.
Kama ingekuwa SADC imeenda ikawa inaratibu operation zake wenyewe basi M23 wasingepumua.
Mbona JWTZ hiyo hiyo ilienda Msumbiji chini ya mwamvuli wa SADC na ikasafisha na kuwafurusha magaidi kuanzia viunga vya mipakani mpaka vijiji jirani vya Msumbiji!?
UNAMID ndio kikwazo ngojea waondoke halafu SADC wajiratibu wenyewe.
M23 usiisifie silaha zao duni zinajulikana na zimeonekana jinsi zilivyo.
 
Jamaa kaongea uongo mwingi aiseee duuuh!
 
Bora ungekua wa kidini.
Alshabaab wana vita ya kikabila,ni ngumu kuingilia mzozo wa kikabila ambao una mafungamano ya kidini ili kugombania utawala.
Vita hizi huwa hazielewekagi,maana hata raia wa kawaida kabila la Alshabaab anaweza kuwa adui.
Haya mambo ni controversial sana kama unavyosema....sasa mtu unajiuliza alshabab anaenda kujilipua katikati ya soko lenye watu wengi hapo anakuwa kalenga mtu wa kabila gani!!!!!! HALAFU AKIWA ANAJILIPUA ANATAMKA KWA SAUTI KUU ALLAHU AKBAR
 
Bora ungekua wa kidini.
Alshabaab wana vita ya kikabila,ni ngumu kuingilia mzozo wa kikabila ambao una mafungamano ya kidini ili kugombania utawala.
Vita hizi huwa hazielewekagi,maana hata raia wa kawaida kabila la Alshabaab anaweza kuwa adui.
Haya mambo ni controversial sana kama unavyosema....sasa mtu unajiuliza alshabab anaenda kujilipua katikati ya soko lenye watu wengi hapo anakuwa kalenga mtu wa kabila gani!!!!!! HALAFU AKIWA ANAJILIPUA ANATAMKA KWA SAUTI KUU ALLAHU AKBAR
 
Haya mambo ni controversial sana kama unavyosema....sasa mtu unajiuliza alshabab anaenda kujilipua katikati ya soko lenye watu wengi hapo anakuwa kalenga mtu wa kabila gani!!!!!! HALAFU AKIWA ANAJILIPUA ANATAMKA KWA SAUTI KUU ALLAHU AKBAR
Yani mkuu haya mambo yanachanganya sana.
Somalia asilimia 90 waislam,sasa kwanini wapigane vita ya kidini!?
Kama haujakaa ukafuatilia kwa umakini waweza sema ni vita ya kidini.
Ila hapana dini ni koti tu limetumika,pale kuna vita ya ukabila kugombania madaraka.
Na huo ugomvi haujaanza leo,umeanza toka 1970s ndio kisa cha SOMALI LAND kujitenga na kuwa semi-autonomous na mji wake mkuu kuwa HARGEISA.Ni kwasababu ya mambo kama hayo ya ukabila.
Miaka ya 1970s walichinjana sana pia na kulipuana sana.
Jiulize kwanini itokee Somalia-Mogadishu na sio Somaliland-Hargeisa!?
 
Daaah
 
Na mafundisho ya dini yetu kama hujamuelekeza mtoto dini inataka nini ukaendekeza kummezesha itikadi basi itakua tatizo.
Itikadi inaleta upofu kiimani,ndio hawa ndugu zetu wasomali wanamezeshana itikadi badala ya kufundisha dini inahitaji nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…