TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Uliandika G20 ama? Ndio nlikushanga maana hakuna ushabiriano kati ya mambo ya kijeshi na G20.

Jeshi sio kwenye talking fora kama JF, jeshi ni kwenye battlefield. Na jeshi hupimwa kwa number za vita na covert operations zilizo perform za kushinda kwa weledi wa hali ya juu. JWTZ ina historia hiyo throughout cold war. Nipe operations za misri na algeria ba vita walizo shinda?
Usilete historia, hao G20 hatuwawezi kijeshi, kama tunataka kiama tukamchokoze El sisi, halafu utajua kama Misri Wana historia au hawana, course yao ni miaka 4 halafu ndio nchi inayoongoza kuwa na wanajeshi wengi hapa Africa, hao polisi wao ni wanajeshi,halafu hebu turudi kwenye history kuhusu Israel and Middle East conflicts utajua Egypt ni nani, El Sisi number moja
 
Nyerere alikuwa alikuwa akiungwa mkono na Eastern Germany mabepari wakubwa, Sisi Zanzibar ndio tulikuwa tunaungwa mkono na Russia, China and Western Germany ambao ni wajamaa, Baada ya kutuona tunafaidi akawasaliti East Germany ambao ni wapinzani wa West Germany ambao ni marafiki wa Zanzibar ili alete Muungano. Baada ya Muungano ndo Tanganyika mkapata fursa Ya kujuana na China na Urusi kupitia Zanzibar
Hapa naona unaleta mambo ya kitoto sasa. Ni heri ukakaa kimya. Nyerere alianza ambo ya kuwa mjamaa akiwa anasoma masters huko Uingeleza kabla hata ya kujiunga na TAA. Soma hata kidogo hapa historia ya Nyerere sio kuja na hija za kitoto tu hapa.
Julius Nyerere - Wikipedia
 
Wewe unaongea jeshi la miaka Ya sabini, wale wote washakufa nahisi, hapa tunaongelea current situation sio history, raisi alipanda punda henzi hizo kulikuwa hamna gari

Is Gen Mwamunyange dead? Is Gen Aloyce Mwakibolwa dead? Is Col Kikwete dead? all the current Generals in JWTZ wamepugani vita hivyo. Usiongee ujinga kwa kuhisi fuatilia historia za Generals wetu wa sasa.
 
Magenerals hawapigani vita ndugu, itabaki history tu, halafu mwamunyange alikuwa jkt [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hata Makongoro Nyerere yupo tena fiti. Ngoja sasa nianze kuwamwagia silaha za TZ nchi kavu na hawa wambea wakae kimya.
 
Hapa naona unaleta mambo ya kitoto sasa. Ni heri ukakaa kimya. Nyerere alianza ambo ya kuwa mjamaa akiwa anasoma masters huko Uingeleza kabla hata ya kujiunga na TAA. Soma hata kidogo hapa historia ya Nyerere sio kuja na hija za kitoto tu hapa.
Julius Nyerere - Wikipedia
Sie tunaongea mfumo wa Tanganyika sio Nyerere, na Nyerere ni bepari wa kijamaa, Waingereza walimsomesha ubepari Baadae yeye akaleta ujamaa
Zanzibar Kuna uwanja unaoitwa Mau tsu Sung, na hospital inayoitwa V. I Lenin, Je Tanganyika vipo hivyo
 
Hizi hapa CVRT Scorpion zipo zaidi ya 50 TZ
cvrt 001.jpg
 
Hapa naona unaleta mambo ya kitoto sasa. Ni heri ukakaa kimya. Nyerere alianza ambo ya kuwa mjamaa akiwa anasoma masters huko Uingeleza kabla hata ya kujiunga na TAA. Soma hata kidogo hapa historia ya Nyerere sio kuja na hija za kitoto tu hapa.
Julius Nyerere - Wikipedia
Halafu umekuja na Wikipedia ambayo inaruhusu editing Ya watu,
 
Sikusound garbage au kuchange suddenly,Mie ni mjeshi so naweza fight savagely
 
MRLS (Multiple Rocket Launcher System) zipo zaidi ya 20
ML3.jpg
ML2.jpg
ML1.jpg
 
Usilete historia, hao G20 hatuwawezi kijeshi, kama tunataka kiama tukamchokoze El sisi, halafu utajua kama Misri Wana historia au hawana, course yao ni miaka 4 halafu ndio nchi inayoongoza kuwa na wanajeshi wengi hapa Africa, hao polisi wao ni wanajeshi,halafu hebu turudi kwenye history kuhusu Israel and Middle East conflicts utajua Egypt ni nani, El Sisi number moja

The largest army in terms of numbers ni Tanzania. Coz za kawaida ndani ya JWTZ ni miaja hiyo tembelea monduli ukaone.

Alipigani tu na isr
Magenerals hawapigani vita ndugu, itabaki history tu, halafu mwamunyange alikuwa jkt [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eeeh! Mwamunyange alikua JKT? Dah! Yaani nina miaka mingi sana sijapata kukaa karibu na wajinga. Hivi wajua nini ni JKT? Na pia humjui Mwamunyange. Eti Generals hawapigani vita? We unakichaa? Gen James Aloyce Mwakibolwa juzi tu katoka vitani na kushinda vita na kupandishwa kua Mej Gen. Generals wanaenda vitani, na wanakua frontline if necessary. Wao ndio watoa muongozo na maplanners mpuuzi wewe. kuanzia cheo cha Mej Gen ni kiongozi wa brigades, ambazo huitwa Division, Brig Gen ni kiongozi wa brigade, Col ni kiongozi wa battalion lieutenant ni kiongozi wa platoon, na lieutenant ni lazima awe kijana si juu ya miaka 35. Wewe ni mjinga kupindukia pia hujui chochote, mbulula
 
The largest army in terms of numbers ni Tanzania. Coz za kawaida ndani ya JWTZ ni miaja hiyo tembelea monduli ukaone.

Alipigani tu na isr

Eeeh! Mwamunyange alikua JKT? Dah! Yaani nina miaka mingi sana sijapata kukaa karibu na wajinga. Hivi wajua nini ni JKT? Na pia humjui Mwamunyange. Eti Generals hawapigani vita? We unakichaa? Gen James Aloyce Mwakibolwa juzi tu katoka vitani na kushinda vita na kupandishwa kua Mej Gen. Generals wanaenda vitani, na wanakua frontline if necessary. Wao ndio watoa muongozo na maplanners mpuuzi wewe. kuanzia cheo cha Mej Gen ni kiongozi wa brigades, ambazo huitwa Division, Brig Gen ni kiongozi wa brigade, Col ni kiongozi wa battalion lieutenant ni kiongozi wa platoon, na lieutenant ni lazima awe kijana si juu ya miaka 35. Wewe ni mjinga kupindukia pia hujui chochote, mbulula
Msamehe huyo Hajielewi
 
Back
Top Bottom