TPDF ranks position 27 in the World!

TPDF ranks position 27 in the World!

Lavingtonsiege.jpg
 
Nadhani hiyo ni during westgate attack mlivyouliwa kama kuku, uwongo???[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Umekosea, baada ya westgate, KDF iliona umuhimu wa kutrain in tight and civilian rescue and hostage situations!! Hapa ilikuwa ni Gigiri during a training in residential areas!!!
 
Madude haya muhimu sana katika jeshi ambayo imepiga hatua!! Hutumiwa na nchi kama Marekani, Russia na sasa Kenya, we have joined the league!
CWhhLCd.png
 
Hatari sana
Hakuna nchi nyepesi kuitandika kama Kenya,hapa Afrika mashariki nakwambia,labda kidogo Mganda anafuatia,wepesi wake unaaanzia hapa you don't have that spirit of war,mmepigana wapi nyie?!,mko nyuma nyuma tu ya wazungu miaka na miaka,mbili,kwa nature tu mnayoishi kuji-organize itawachukua muda sana,vita si wanajeshi tu wananchi pia wanahusika kwa kiasi kikubwa sana,damu,kujiunga kwny mapambano.....,Tatu kwa jografia tu ni ngumu sana kupentrate kwny inner part ya Tanzania kwa nature tu ya mazingira yake,kuna milima kuna terrain,misitu minene mito na n.k, Tanzania ni kubwa mno sijui unaishikaje ,you jirani mko naked kbs hatuhitaji hata tochi kuwatafuta,eneo lenu kubwa ni jangwa,kwanza tunaweza kuamua kuwauwa kwa njaa tu.🤣🤣🤣,hapo sijaingia kwny uwiano wa idadi ya watu, ukiangalia pyramid tu ilivyokaa, vijana wazee watoto, you can have all of them like the toys,my friend when it comes to art of war, Unahitaji picha kubwa mno.Let us make peace ✌️✌️✌️.
 
Back
Top Bottom