TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi


Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653

Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira ya kuweka viporo mliyatengeneza wenyewe mbumbumbu eti mnalipiza kisasi, sasa hivi ndo mnaona madhara yake. Hapo bado viporo kuwachachia maana umeme wa mgao
 

Attachments

  • IMG-20190115-WA0135.jpg
    IMG-20190115-WA0135.jpg
    25 KB · Views: 18
Hao Al ahly wenyewe wabovu mechi Yao mwamuzi ndo alikuwa man of the match.
Mlianza na Mbabane, mkahamia Nkana kwa kelele nyingi sanaaaa baada ya kuona tumewanyoa mkahamia kwa Saoura.
Karibu taifa umshangilie Mwarabu tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi tuna roho ya paka, mpaka dakika ya mwisho hatuwezi kuwashangilia watani wetu wa jadi hiyo never

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom