Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Kile kipigo cha jana kilikua cha Azam, tunawapangia kipigo kingine...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifungwa David Seaman toka katikati ya Uwanja itakuwa golikipa wa Mwadui?
Ni kweli kabisa ligi ya Bongo ni dhaifu mno.Ndiyo maana Timu inayotoka kwenye ligi dhaifu lazima kwenye mashindano ya kimataifa ichukuliwe kama dhaifu.Nadhani Simba wameanza kumuelewa Shaffih Dauda aliposema Simba ni Underdog kwenye kundi lakeDaaah Ligi ya Tanzania dhaifu Sana Bora Simba wanacheza ligi ya Mabingwa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wanaweza weka rekodi ya kumaliza ligi Bila kufungwaHii Yanga Bora isiwe bingwa maana watalitia taifa aibu kwenye uso wa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ile JS Soura mechi ya Marudiano Simba itafungwahuko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa maana huko itakuwa ni totally fiesco mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, na kipigo juu na mkitudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apo
mnapoteza mwelekeo na kuwa jamvi la wageni
Mje muongoze ligi sio maneno manenoNadhani hawakuwa serious mkuu sio kwa pira lile walilopiga na waarabu Saoura
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna Timu Tanzania ilishawahi shinda Club Bingwa Africa?Kwa Yanga hi usitegemee akiwa bingwa afanya lolote Africa kwa kikosi hiki
Massive investment inahitajika kupambana kule
Usitegemee kutembeza bakuli litasaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumamosi Simba atakuwa nafasi ya Tatu na itakuwa nafasi ya kudumuHali halisi Hadi Sasa Simba ndo kinara wa kundi na jumamosi anaenda kutafuta ushindi wa 2 mfululizo kule Congo DRC
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wenyewe ndio mabingwa wa kuomba poo eti wajiandae na Club BingwaTFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi
Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfananisha goli la ronadinho na ligi ya bongo ? Acha masihara mkuuAlifungwa David Seaman toka katikati ya Uwanja itakuwa golikipa wa Mwadui?
Sent using Jamii Forums mobile app
Itatia aibu kwenye michuano ya Africa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mwisho wa siku Yanga waleeeeee.
Mkuu sisi tuna roho ya paka, mpaka dakika ya mwisho hatuwezi kuwashangilia watani wetu wa jadi hiyo never
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijapata tabu sema Yanga walicheza mpira wa hovyo Sana walishinda kimungu munguHahaa. Swahiba ulipata tabu sana jana usiku.
Ndio uone sasa kwamba Yanga sio timu ya mchezo mchezo
🤣🤣🤣 Ila mna tabu sana Mikia.