TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Si unajua akili za kipumbavu na njama za Mikia watakuwa walimuhonga hela ili asirudi wakidhani Yanga haitashinda,sasa leo tunawatumia salamu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilimuelewa sana Zahera kwenye ile Interview jana hasa aliposema kuna kipindi alikosekana Yondani, akakosekana Beno ila bado tulifanya vizuri na kukosekana kwa Makambo sio tatizo. Na ndio kilichoonekana jana.
 
TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi

Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kipindi Manara na Simba walilalamika sana kuwa TFF inaubeba Yanga kwa kuipa viporo vingi. Inakuwaje safari hii Simba wamepewa viporo wanaanza kulalamika tena!
 
Wakifunga Yanga eti ni muamala....Halafu hawa Yanga watatembeza vipi muamala wakati wao ni watembeza bakuli???!!!

Ahahahaha kwa hiyo leo ndiyo mnatambua hivyo???!!!! Si mlikuwa mnacheka nyie!!! Leo ndiyo mnatambua nguvu ya wananchi....Nyie endeleeni kutegemea hao hao mnaowategemea .....
Mkuu waaambiiiiie hao.
 
Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
Mmmh. Nishajua we ni timu gani sasa.

Tunakubali kikosi chenu ni bora ila nadhani unazijua mechi za Simba na Yanga ambavyo huwa, na mfano hai ni mechi ile ya round ya kwanza.
 
TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi

Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃😃 mlijua mnatutanguliza tuharibu kumbe wenzenu tunashine tu. Haya pasheni hivyo viporo 5 tuone.
 
TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi

Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653

Sent using Jamii Forums mobile app
Hee yamekuwa hayo tena wazee wa kikosi kilichopanuliwa.
 
Back
Top Bottom