TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Daaah Ligi ya Tanzania dhaifu Sana Bora Simba wanacheza ligi ya Mabingwa Africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa ligi ya Bongo ni dhaifu mno.Ndiyo maana Timu inayotoka kwenye ligi dhaifu lazima kwenye mashindano ya kimataifa ichukuliwe kama dhaifu.Nadhani Simba wameanza kumuelewa Shaffih Dauda aliposema Simba ni Underdog kwenye kundi lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huko DRC mnaenda kufunuliwa 3 mtungi, misri ndiyo usiseme kwaa maana huko itakuwa ni totally fiesco mkiponea chupuchupu ni 5 kavuuu, na kipigo juu na mkitudi nyumbani na wamisri tena mnapigwa 2 karai, baada ya apo
mnapoteza mwelekeo na kuwa jamvi la wageni
Hata ile JS Soura mechi ya Marudiano Simba itafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom