vipi watakaokua wamefungasha tella nyuma watakua na hali ganiYanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingira ya kuweka viporo mliyatengeneza wenyewe mbumbumbu eti mnalipiza kisasi, sasa hivi ndo mnaona madhara yake. Hapo bado viporo kuwachachia maana umeme wa mgaoTFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi
Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi tuna roho ya paka, mpaka dakika ya mwisho hatuwezi kuwashangilia watani wetu wa jadi hiyo neverHao Al ahly wenyewe wabovu mechi Yao mwamuzi ndo alikuwa man of the match.
Mlianza na Mbabane, mkahamia Nkana kwa kelele nyingi sanaaaa baada ya kuona tumewanyoa mkahamia kwa Saoura.
Karibu taifa umshangilie Mwarabu tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu FChivi awa wanacheza ligi ya kimataifa wanafuata nini huku TPL. Nakutokwa na povu na kuumia roho wao si wanasema sio level ya TPL kweli Msomali akukosea kuwaita lile jina
Nipo mtani, hongerenivip mdau naona umetokomea kimya kimya bila hata kuaga
Nimekuja Mwanangu wajua tena kuhudumia familia inabidi simu naitupa kule. ππ
Wachaaaaa.Mwadui piga haoooooooo
Najisikia kukupa likes tu Swahiba. πππ
Ulishaanza kuteseka Swahiba. ππππRefa tunaomba uchezeshe Fair play mbeleko ilikuwa mwisho mwaka 2018
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Dafu. πππYanga funga mwadui hadi simba wanunue ndimu
Hivi Mkuu alikujibu kweli sababu zile goli za Ajibu na Fei Toto si za nchi hii.
Kwa hela gani alizonazo Yanga wakati kila siku anapitisha bakuli.
Swahiba nikikwambia we ni mshabiki wa mikia huwa unakataa. Nini hiki umeandika na sababu ilikuwa nini?
DAIMA MBELE NYUMA MWIKOYangaaaaaaaaaaa
Hahahaaa. Noooma Sana.Daaah Ligi ya Tanzania dhaifu Sana Bora Simba wanacheza ligi ya Mabingwa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app