Teh teh. Angekuwa Simba hapo wala usingeandika hii kitu.
Nilimuelewa sana Zahera kwenye ile Interview jana hasa aliposema kuna kipindi alikosekana Yondani, akakosekana Beno ila bado tulifanya vizuri na kukosekana kwa Makambo sio tatizo. Na ndio kilichoonekana jana.Si unajua akili za kipumbavu na njama za Mikia watakuwa walimuhonga hela ili asirudi wakidhani Yanga haitashinda,sasa leo tunawatumia salamu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnabahati tu nyieWachaaaaa.
Kwani rafiki we Mshabiki wa timu gani eti? ππFrank kwa yanga hii ya leo simba mnaweza kucheza nayo ama mtakwepa kuepuka fedheha?
Viporo vingapi?
Kuna kipindi Manara na Simba walilalamika sana kuwa TFF inaubeba Yanga kwa kuipa viporo vingi. Inakuwaje safari hii Simba wamepewa viporo wanaanza kulalamika tena!TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi
Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio uone sasa kwamba Yanga sio timu ya mchezo mchezo
Hahaa. Swahiba ulipata tabu sana jana usiku.
Mkuu waaambiiiiie hao.Wakifunga Yanga eti ni muamala....Halafu hawa Yanga watatembeza vipi muamala wakati wao ni watembeza bakuli???!!!
Ahahahaha kwa hiyo leo ndiyo mnatambua hivyo???!!!! Si mlikuwa mnacheka nyie!!! Leo ndiyo mnatambua nguvu ya wananchi....Nyie endeleeni kutegemea hao hao mnaowategemea .....
π³π³π³π³
Ewaaaaa. Apele Simba habari ya Possession. Huku kwa wananchi ni point 3 tuHizo Possession wapelekee simba huko kwa yanga zungumzia point 3 tu,
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ lolUnataka kusema mwadui ni bora kuliko mwarabu au?
Si nyinyi mlikuwa mnasema watatufunga?
Anza safari ya Congo gari limewaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh. Nishajua we ni timu gani sasa.Mkuu umeona mechi ya leo mlivyoanzisha mpira mlifanya nini au mtatudanganya mnafanya vile kuathiri psychology ya wapinzani?
.
All in all simba ndiyo timu bora zaidi Tanzania round hii ya pili yanga ikikutana na simba itakuwa ni kiama na tuta dedicate magoli yote kwa marehemu mafisango mutesa Patrick.
π€£π€£π€£ mwisho wa siku Yanga waleeeeee.Yanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ mlijua mnatutanguliza tuharibu kumbe wenzenu tunashine tu. Haya pasheni hivyo viporo 5 tuone.TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi
Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitag Mkuu
Huu ndio ukweli kama ilivyo kwao hakuna Shabiki wa Simba anaeweza shangilia yanga hata iweje. Hivyo watuwache tu tuhame timu tutakavyo.Mkuu sisi tuna roho ya paka, mpaka dakika ya mwisho hatuwezi kuwashangilia watani wetu wa jadi hiyo never
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh. Basi Allah katupendelea mwaka huu maana tunaianza round ya pili kwa bahati ile ile ya round ya kwanza. Hatari sana aisee.Mnabahati tu nyie
Natumaini analysis yako itakuwa implied kwa maana ya kwamba hata walioko kwenye hiyo ligi ni wabovu pia.Yanga akiwa bingwa atakuwa ndo bingwa mbovu zaidi ukanda huu wa Africa Mashariki na Kati na ukanda wa jangwa la Sahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee yamekuwa hayo tena wazee wa kikosi kilichopanuliwa.TFF mnaharibu ligi yetu viporo vimekuwa vingi Sana haiwezekani Yanga amzidi Simba points 20 Kama ilivyo Sasa mnatoa Radha ya ushindani wa ligi
Mjitahidi kupunguza viporo mnaiandalia Simba mazingira magumu kutetea ubingwa wake na kutamanisha upangaji wa matokeoView attachment 995653
Sent using Jamii Forums mobile app