We sema kimungu Mungu wakati round ya pili ishaanzaSijapata tabu sema Yanga walicheza mpira wa hovyo Sana walishinda kimungu mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hela gani aliyonayo Yanga mpaka ahonge?
Bahati in mwisho wake hiiNilimuelewa sana Zahera kwenye ile Interview jana hasa aliposema kuna kipindi alikosekana Yondani, akakosekana Beno ila bado tulifanya vizuri na kukosekana kwa Makambo sio tatizo. Na ndio kilichoonekana jana.
Kwa akili ya kawaida tu unadhani Azam anaeza tufunga?
Mimi Ni Mchambuzi huru natoa Hali panapostahiliSwahiba nikikwambia we ni mshabiki wa mikia huwa unakataa. Nini hiki umeandika na sababu ilikuwa nini?
Tunawaongoza mkiwemo na nyie Mikia.Bahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mawazo yako tu , nilitoa tahadhariUlishaanza kuteseka Swahiba. [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Pole sana Swahiba. Na utazidi kuteseka sana mwaka huu.Too much is harmful
Viporo vimekuwa vingi mno Kuna hatari ya kutengeneza mazingira ya upangaji wa matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Lile bakuli linalipitishwa huoni?Kwa hela gani aliyonayo Yanga mpaka ahonge?
Unakula 3 kwa 1 kwa Ile beki ya yangaKwa akili ya kawaida tu unadhani Azam anaeza tufunga?
tumewapiga sasa, hutaki andamanaMwadui piga haoooooooo
lile goli bora la mwezi januari mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Simba wapo bize na kombe la AfricaTunawaongoza mkiwemo na nyie Mikia.
hahaha eti wanabahatisha..kijana be serious
Mwaka Juzi mlikuwa mnamlalamikia Malinzi kuwa anatubeba Kwa kutupa viporo vingi mpaka mkafikia stage ya kugomea kucheza match mpaka Yanga imalize viporo vyake. Kwa akili yenu ya Kimbumbumbu mlijua viporo vina advantage kumbe ni pressure na hasara na leo ndio mnagundua hilo,too late.Too much is harmful
Viporo vimekuwa vingi mno Kuna hatari ya kutengeneza mazingira ya upangaji wa matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba wako mbali Sana kwa kiwango ukilinganisha na hizi timi za bongo zilizobaki
sasa mkuu unatoa updates za mechi au unapondea timu? ukitoa updates za timu yoyote UNAZI WEKA PEMBENI KWANZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Yanga Bora isiwe bingwa maana watalitia taifa aibu kwenye uso wa Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwemo na MikiaBahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United
Sent using Jamii Forums mobile app
KWANI WANAKOSAGA LA KUONGEA HAO MIKIA FC?Mwaka Juzi mlikuwa mnamlalamikia Malinzi kuwa anatubeba Kwa kutupa viporo vingi mpaka mkafikia stage ya kugomea kucheza match mpaka Yanga imalize viporo vyake. Kwa akili yenu ya Kimbumbumbu mlijua viporo vina advantage kumbe ni pressure na hasara na leo ndio mnagundua hilo,too late.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3] Swaiba Mimi nakuonea huruma ujue unaongoza ligi karibia msimu mzima alafu bingwa anakuwa SimbaPole sana Swahiba. Na utazidi kuteseka sana mwaka huu.
SEMA MCHAMBUZI HURU FEKI UNAYEEGEMEA SIMBA