TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

TPL: kutoka uwanja wa Taifa Yanga SC vs Mwadui FC

Nilimuelewa sana Zahera kwenye ile Interview jana hasa aliposema kuna kipindi alikosekana Yondani, akakosekana Beno ila bado tulifanya vizuri na kukosekana kwa Makambo sio tatizo. Na ndio kilichoonekana jana.
Bahati in mwisho wake hii
We msifie tu
Yaani Yanga wanavyotamba utafikiri wanaongoza kundi A kwenye ligi ya Mabingwa Africa kumbe wanawaongoza ndanda na Biashara United

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too much is harmful
Viporo vimekuwa vingi mno Kuna hatari ya kutengeneza mazingira ya upangaji wa matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka Juzi mlikuwa mnamlalamikia Malinzi kuwa anatubeba Kwa kutupa viporo vingi mpaka mkafikia stage ya kugomea kucheza match mpaka Yanga imalize viporo vyake. Kwa akili yenu ya Kimbumbumbu mlijua viporo vina advantage kumbe ni pressure na hasara na leo ndio mnagundua hilo,too late.

KWANI WANAKOSAGA LA KUONGEA HAO MIKIA FC?
 
Back
Top Bottom