Unamueka vipi wakati kasimama kucheza ligiMbona Simba hayupo kwenye list yako? au Simba hashiriki ligi kuu msimu huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana Rage aliwaambia MbuX3.Duh! Si mlisema Yanga njaa?!
Akimfunga Vita pia mtasema sio big matchTangu Simba irudi kwenye ubora wake imecheza bigmatch mbili pekee....ile ya yanga na Simba alaf na nkana Kwahyo punguzeni kuongea bado bigmatch zinakuja huko...saoura sio bigmatch ....Mbabane sio bigmatch ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya wananchi........Hii ndiyo maana ya Kikosi kipana kila mchezaji anauwezo wa kufanga.
Oooh. Kuumbe.
Umeona lakini magoli Yale yaliofungwa na ubora wa kipa wa mwadui?Ndio maana Rage aliwaambia MbuX3.
Mara Yanga njaa...
Mara Yanga wananunua marefu...
Mara Yanga wanaonga wachezaji ....
Yaani hayaeleweki ni nini huwa yanataka. Ndio maana Manara anayapelekeshaga sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona lakini magoli Yale yaliofungwa na ubora wa kipa wa mwadui?
Match fixing
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapinduzi kombe au Bonanza
Kikosi chao wanachokiita kipana kimeshindwa hata kubeba Mapinduzi Cup.
Leo hii wanawaza CAF..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Manula yupi unamzungumzia ? Kama Ni Tanzania one sio kweli
Mbona asilimia 90 ya Mabao anayofungwa Manula ni kutokana na mipira iliyopigwa yards 45..
Au Manula naye anafanya Match Fixing..[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mapinduzi kombe au Bonanza
Uliona wapi mashindano unafanya SUB Hadi 6?
Hauko serious mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walienda kufanya mazoezi ya kumpiga mwarabu mkuu
Mapinduzi Cup mliyakamia kinoma yale Mashindano.
Mmepeleka hadi kikosi chote kizima cha kwanza kikawapige tafu ili muingie nusu fainali.
Kama ni Bonanza...kwanini Bocco,Okwi,Kagere,Chama walienda kushiriki.
Yanga pekee mwenye kikosi cha namna ile ndie aliyepaswa kusema ni Binanza. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
WATAKUFUATA INBOX WAKUTUKANE.Simba anakazi ngumu kumshusha Yanga anaeshinda kila mechi...hiyo iko wazi bila unazi.
Simba tuna mechi na AZAM FC, MTIBWA, BIASHARA, COASTAL, MBEYA CITY... Ambazo tunatakiwa kushinda zote ili kumtia presha aliyeko juu, Tukiteleza hata mechi 1 tu ni hatari sana.
Tofauti na watani zetu wao hata wakiteleza moja bado wako juu point.
Kazi tunayo.
Tulikuwa tunapasha moto misuli... Majibu yake anayo JS SOURA.
Mapinduzi Cup mliyakamia kinoma yale Mashindano.
Mmepeleka hadi kikosi chote kizima cha kwanza kikawapige tafu ili muingie nusu fainali.
Kama ni Bonanza...kwanini Bocco,Okwi,Kagere,Chama walienda kushiriki.
Yanga pekee mwenye kikosi cha namna ile ndie aliyepaswa kusema ni Binanza. [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Kupasha misuli moto?Tulikuwa tunapasha moto misuli... Majibu yake anayo JS SOURA.
Yanga alivyopeleka wale vijana ulitaka na Simba awaige
Kishabiki ndio hivyo ila kimahesabu ushabiki hauna nafasi.WATAKUFUATA INBOX WAKUTUKANE.
WENZAKO HAWAPENDAGI KUAMBIWA UKWELI WA NAMNA HIYO...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama si kombe mbona mlipeleka Kikosi kazi kule?Mapinduzi kombe au Bonanza
Uliona wapi mashindano unafanya SUB Hadi 6?
Hauko serious mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app